Msaada: Nimetumia dakika 5 kumtambua ndugu yangu wa karibu

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Haya yalinitokea leo, kuna ndugu yangu nimekuwa nikiishi naye kwa muda mrefu, ila mwezi huu wa saba sikuweza kumuona, ghafla leo nikakutana nae, akawa wa kwanza kutaja jina langu, katika purukushani za kusalimiana nikashindwa kumtambua kabisa, je, kuna nini imeniingilia kwenye kumbukumbu?

 
Peleka Karakana Hicho Kichwa Chako Kikakarabatiwe Ninakuhakikishia Kabisa Hautasahau Tena Milele
 
kuja kwenye uzi wa Pasco utaelewa.
 
Last edited by a moderator:

Wewe unataka kusema una th6 sense?
 
Mkuu Makaura, no need to worry, hiyo ni hali ya kawaida na inawatokea watu wengi, inaitwa preudo-amnesia, inatokana kitu kinaitwa temporary absentmindedness due to congestion, ambapo kutokana na mind yako kuwa too bussy na vitu vingi, too concentrated na mambo mengi na too preoccupied na shughuli nyingi, na vitu vingi kichwani, trafic ya mawazo inakuwa tuu much, brain in cease kwa muda usually ni few seconds unapoteza kumbukumbu kwa muda mfupi hivyo unakutana na mtu unamjua, unakuwa umemsahau, baada ya muda mfupi kumbukumbu zinarudi!. No need to worry kama ndio kwanza imetokea once, ila ikihappen kujirudia rudia, then it will take longer, in that case you'll need professional advice up to medical treatment.

Brain ya binadamu inafanya kazi kama compyuta, inapokea commands mbalimbali from the 5 ordinary senses, plus the motor side and plus the 6th sense, inapotokea signals zinatumwa nyingi dana kwa pamoja, information traffic inakuwa tuu much to be process at the time, kama kutoa multiple command kwenye compyuta utaona kama in a jam, or takes too long to open a simple thing, ukiisubiri kidogo itafungua!. Kwa wasio jus wataendelea ku command mwisho in a stuck, haiwezi kufanya kith had u restart!.
Pasco.
 

Hujapotezana nae unaishi nae hapohapo,sema kumbukumbu zilikurudia ghafla then zikapotea tena.
 

Hujapotezana nae unaishi nae hapohapo,sema kumbukumbu zilikurudia ghafla then zikapotea tena.
 

Mimi huwa nasahau majina ya rafiki nzangu, sometimes inabidi niperuzi kwenye simu ili kuwatambua majina yao. Hilo nalo ni tatizo kama la huyo jamaa?
 
Mimi huwa nasahau majina ya rafiki nzangu, sometimes inabidi niperuzi kwenye simu ili kuwatambua majina yao. Hilo nalo ni tatizo kama la huyo jamaa?
No hilo ni tofauti, hiyo inaitwa forgetfulness, sio tatizo kabisa, huwezi amini mimi nata mobile number ya wife siijui ila nimesave jina!. Sikumbuki number za magari, wala siweki kichwani number za simu!. Siwakumbuki kwa majina baathi ya watu niliomaliza nao chuo, ila nakumbuka baadhi ya majina niliosoma nao vidudu!. Hii hutokea tuu ila kuna mazoezi ya kuimprove memory, tembelea hapa [h=3]Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wana[/h]huko utakutana na maticha wa ukweli.
Pasco
 

What?..
 

Mkuu Makaura wahi hospitali ya Mirembe kule Dodoma watakusaidia
 
Last edited by a moderator:

Hivyo ni viroba, punguza mkuu
 

Zingatia siku ya jana na muda ulo kutana nae,then utapata jibu.
 
Pasco amesema vyema pseudo- amnesia huwapata watu wengi sana na ukweli vijana wa siku hizi kwasababu ya shughuli kuwa nyingi kwenye ubongo mtu huwa anapoteza kumbukumbu kwa muda kidogo. Mie nilishawah kupoteza kumbukumbu siku moja nilikuwa nataka kukumbuka nimevaa nguo gani ya ndani, yaani ilinichukua muda kama sek kadhaa kujua nimevaa nguo gani ndani yangu.

cha ajabu kuna siku hubby alivaa bukta mbili ndani ya suruali pasi kujua kwamba amevaa mbili af ilotangulia ndani aliigeuza nje ndani..................yaani jion tunarudi home anajiandaa kwenda kuoga tena ndo mimi namshangaa mbona umevaa bukta mbili?? akasema wat???........................................kujitizama alichoka na huwez amini hakugundua hilo kwa siku nzima.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…