Haya yalinitokea leo, kuna ndugu yangu nimekuwa nikiishi naye kwa muda mrefu, ila mwezi huu wa saba sikuweza kumuona, ghafla leo nikakutana nae, akawa wa kwanza kutaja jina langu, katika purukushani za kusalimiana nikashindwa kumtambua kabisa, je, kuna nini imeniingilia kwenye kumbukumbu?
Mkuu Makaura, no need to worry, hiyo ni hali ya kawaida na inawatokea watu wengi, inaitwa preudo-amnesia, inatokana kitu kinaitwa temporary absentmindedness due to congestion, ambapo kutokana na mind yako kuwa too bussy na vitu vingi, too concentrated na mambo mengi na too preoccupied na shughuli nyingi, na vitu vingi kichwani, trafic ya mawazo inakuwa tuu much, brain in cease kwa muda usually ni few seconds unapoteza kumbukumbu kwa muda mfupi hivyo unakutana na mtu unamjua, unakuwa umemsahau, baada ya muda mfupi kumbukumbu zinarudi!. No need to worry kama ndio kwanza imetokea once, ila ikihappen kujirudia rudia, then it will take longer, in that case you'll need professional advice up to medical treatment.
Brain ya binadamu inafanya kazi kama compyuta, inapokea commands mbalimbali from the 5 ordinary senses, plus the motor side and plus the 6th sense, inapotokea signals zinatumwa nyingi dana kwa pamoja, information traffic inakuwa tuu much to be process at the time, kama kutoa multiple command kwenye compyuta utaona kama in a jam, or takes too long to open a simple thing, ukiisubiri kidogo itafungua!. Kwa wasio jus wataendelea ku command mwisho in a stuck, haiwezi kufanya kith had u restart!.
Pasco.