Msaada: Nimetumia dakika 5 kumtambua ndugu yangu wa karibu

Pole. Tumia pia Asali na mdalasini kabla hujapoteza kumbukumbu kabisa ukasahau hata jina lako.
 
Pasco amesema vyema pseudo- amnesia huwapata watu wengi sana na ukweli vijana wa siku hizi kwasababu ya shughuli kuwa nyingi kwenye ubongo mtu huwa anapoteza kumbukumbu kwa muda kidogo. Mie nilishawah kupoteza kumbukumbu siku moja nilikuwa nataka kukumbuka nimevaa nguo gani ya ndani, yaani ilinichukua muda kama sek kadhaa kujua nimevaa nguo gani ndani yangu.

cha ajabu kuna siku hubby alivaa bukta mbili ndani ya suruali pasi kujua kwamba amevaa mbili af ilotangulia ndani aliigeuza nje ndani..................yaani jion tunarudi home anajiandaa kwenda kuoga tena ndo mimi namshangaa mbona umevaa bukta mbili?? akasema wat???........................................kujitizama alichoka na huwez amini hakugundua hilo kwa siku nzima.
Duu kumbe gfsonwin na wewe mara moja moja huwa una..., nani huyo alikutokea, hivyo kabla hujaamua kwenda kumvulia, ilikubidi kwanza kukumbuka umevaa ipi kati ya g, kk, or ordinary ili ujue kama atahamasika au laa?!.

Hiyo ya hubbiyo nayo kali!, yaani hakwenda hata ku pee siku nzima?!, ukivaa double wakati wa ku pee utajua!, ila pia than God sijui ni mko ulaya kwenye baridi au bongo kuanzi home, gari, ofisi full kipupwe hivyo hakugundua!, ingekuwa huku kwentu mashenzini, hilo joto tuu lingemjulisha!, unless hizo bulta ni boxer za kitambaa cha sari!.
Pasco.
 
hahahahahaahh............................... hivi unafkiri ni kwamba unataka kuikumbuka ili ukaivue lkn mie huwaga napenda tu nikumbuke nikoje, sijui kwann huwa nasahau na ni kweli huwa nasahau hasa pant na bra

juu ya ishu yake unajua nilichokonkludi ni kwamba men huwa hawana tabia ya kujiangalia kama sisi wadada manake nyie mkipee ukishafungua zipu unaivuta uliko ificha bila hata kuangalia na vidole can not tell hitilafu kama macho lol!
 
Mkuu Makaura, no need to worry, hiyo ni hali ya kawaida na inawatokea watu wengi, inaitwa preudo-amnesia, inatokana kitu kinaitwa temporary absentmindedness due to congestion, ambapo kutokana na mind yako kuwa too bussy na vitu vingi, too concentrated na mambo mengi na too preoccupied na shughuli nyingi, na vitu vingi kichwani, trafic ya mawazo inakuwa tuu much, brain in cease kwa muda usually ni few seconds unapoteza kumbukumbu kwa muda mfupi hivyo unakutana na mtu unamjua, unakuwa umemsahau, baada ya muda mfupi kumbukumbu zinarudi!. No need to worry kama ndio kwanza imetokea once, ila ikihappen kujirudia rudia, then it will take longer, in that case you'll need professional advice up to medical treatment.

Brain ya binadamu inafanya kazi kama compyuta, inapokea commands mbalimbali from the 5 ordinary senses, plus the motor side and plus the 6th sense, inapotokea signals zinatumwa nyingi dana kwa pamoja, information traffic inakuwa tuu much to be process at the time, kama kutoa multiple command kwenye compyuta utaona kama in a jam, or takes too long to open a simple thing, ukiisubiri kidogo itafungua!. Kwa wasio jus wataendelea ku command mwisho in a stuck, haiwezi kufanya kith had u restart!.
Pasco.

nice words dude..
 
Najua kuna p na b for you and for us!, yaani kuna baadhi zilivyo zimetengenezwa ili ukivaa ujione wewe tuu, lakini ziko zile za kumvalia yeye!, unaposahau, its as if umepata impromptu date and you are not sure uli vaa ipi for you or for him!. Na sio p & b pekeyake hata dressing, mnatufanyiaga makusudi sana huku mkijidai mmejivalia tuu!.

juu ya ishu yake unajua nilichokonkludi ni kwamba men huwa hawana tabia ya kujiangalia kama sisi wadada manake nyie mkipee ukishafungua zipu unaivuta uliko ificha bila hata kuangalia na vidole can not tell hitilafu kama macho lol!
Its true, sisi sio waangalifu sana na ndio maana maana ikitokea tukakutana na nyinyi ambao nanyi pia sio waangalifu, then popote, mezani, kwenye kiti, kwenye ngazi, jikoni, bafuni au popote penye privacy!, sasa wewe wa type ya kukumbuka na kama ndio umetuvalia, lazima utakataa popote ili ukafanye kiji mini striptease show ya single spectator!.
Pasco
 
Mkuu Makaura, no need to worry, hiyo ni hali ya kawaida na inawatokea watu wengi, inaitwa preudo-amnesia, inatokana kitu kinaitwa temporary absentmindedness due to congestion, ambapo kutokana na mind yako kuwa too bussy na vitu vingi, too concentrated na mambo mengi na too preoccupied na shughuli nyingi, na vitu vingi kichwani, trafic ya mawazo inakuwa tuu much, brain in cease kwa muda usually ni few seconds unapoteza kumbukumbu kwa muda mfupi hivyo unakutana na mtu unamjua, unakuwa umemsahau, baada ya muda mfupi kumbukumbu zinarudi!. No need to worry kama ndio kwanza imetokea once, ila ikihappen kujirudia rudia, then it will take longer, in that case you'll need professional advice up to medical treatment.

Brain ya binadamu inafanya kazi kama compyuta, inapokea commands mbalimbali from the 5 ordinary senses, plus the motor side and plus the 6th sense, inapotokea signals zinatumwa nyingi dana kwa pamoja, information traffic inakuwa tuu much to be process at the time, kama kutoa multiple command kwenye compyuta utaona kama in a jam, or takes too long to open a simple thing, ukiisubiri kidogo itafungua!. Kwa wasio jus wataendelea ku command mwisho in a stuck, haiwezi kufanya kith had u restart!.
Pasco.

Nice advice kaka ubarikiwe
 
Amini usiamini wala sikumbukagi kabisa, ila siku moja moja ninazokwenda kwenye massage ndio navaa thin, silk na very tight!, kama ya swim, the normal ni cotton ikiingia mafuta na massage kufua natesa watu!. Mimi ni miongoni mwa wale ambao kuzifua niliishia form 6!, tangu JKT nilifuliwa, chuo nilifuliwa na nimemaliza tuu chuo straight altareni at 24!.

Ila zinapotokea zali za dates, mkituvalia huwa najua!, delaying tactics za striptease hufanyika!, zinapotokea dates za impromptu, mtu hajakuvalia, mkifika ni straight washroom!, akitoka na taulo, kila kitu kesha ...

Pasco

hahhahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!
hivi unajua siku hizi umekuwa spoiled sana weye mkaka............
no wonder mkeo ana expect lol...............sasa ile furaha ya kummimba ndo inakupeleka kote huku.
sasa umeona ata wewe huwa hukumbuki the same kama mimi, na uwiiii ikitokea impromptu unazuga hujiskii vzr kama najua sijiamin ............... khaaa!!
BTW nataka nikukaribishe mahali uje unipe akili njema manake mafanikio huja pia kwa kupata ushauri mzuri kwa rafiki wema.
 
Mkuu Makaura, no need to worry, hiyo ni hali ya kawaida na inawatokea watu wengi, inaitwa preudo-amnesia, inatokana kitu kinaitwa temporary absentmindedness due to congestion, ambapo kutokana na mind yako kuwa too bussy na vitu vingi, too concentrated na mambo mengi na too preoccupied na shughuli nyingi, na vitu vingi kichwani, trafic ya mawazo inakuwa tuu much, brain in cease kwa muda usually ni few seconds unapoteza kumbukumbu kwa muda mfupi hivyo unakutana na mtu unamjua, unakuwa umemsahau, baada ya muda mfupi kumbukumbu zinarudi!. No need to worry kama ndio kwanza imetokea once, ila ikihappen kujirudia rudia, then it will take longer, in that case you'll need professional advice up to medical treatment.

Brain ya binadamu inafanya kazi kama compyuta, inapokea commands mbalimbali from the 5 ordinary senses, plus the motor side and plus the 6th sense, inapotokea signals zinatumwa nyingi dana kwa pamoja, information traffic inakuwa tuu much to be process at the time, kama kutoa multiple command kwenye compyuta utaona kama in a jam, or takes too long to open a simple thing, ukiisubiri kidogo itafungua!. Kwa wasio jus wataendelea ku command mwisho in a stuck, haiwezi kufanya kith had u restart!.
Pasco.

Jibu zuri!!...ndio uzuri wa JF!
 
hahhahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!
BTW nataka nikukaribishe mahali uje unipe akili njema manake mafanikio huja pia kwa kupata ushauri mzuri kwa rafiki wema.
Mkuu gfsonwin, nikaribishe tuu, kwangu jf ni zaidi ya keyboard, ili mradi tuu ujivalie, usinivalie!, sisi wengine ni Waafrika halisi tukiendeleza Uafrika wetu!.
Pasco.
 
Nakumbuka ndiyo maana sitaki matusi hata Pasco aniambiaje sifanyi matusi mama asijenichukia
Kumbe hukunielewa!, mimi ni Mlokole, sio mtu wa mambo hayo kabisa!, sana sana nitakuombea tuu na ikibidi mwili wako pia naweza kuubariki, mibaraka ya kimaombezi ya mwili, roho na nafsi!.
Pasco.
 
Ilishawahi kunitokea; siku hiyo nilikuwa na mambo mengi sana kichwani, nilifika sehemu lkn wakati wakutoka memory ilipotea kbs nikashindwa hata kutambua niko wapi, ilinibidi nikae kama dk 10 sehemu ile ndipo kumbukumbu ikaniijia nikaendelea na safari
 
Aseee hii kitu m nlidhan utan,kuna best angu aliniambia last wkend kuwa alisahau alikula nn uck wa siku hyo! Ilimchukua zaidi ya saa 5 kukumbuka,

Asee alipokumbuka alikuwa kama ametua mzigo, nlidhan jambo la kawaida kumbe ni tatzo!!! Mungu atusaidie Wajawake
 
Haya yalinitokea leo, kuna ndugu yangu nimekuwa nikiishi naye kwa muda mrefu, ila mwezi huu wa saba sikuweza kumuona, ghafla leo nikakutana nae, akawa wa kwanza kutaja jina langu, katika purukushani za kusalimiana nikashindwa kumtambua kabisa, je, kuna nini imeniingilia kwenye kumbukumbu?

Mkuu unaugonjwa wa kusahau.kwa ushaur kariri four figer yoote.utakuwa poa.kama uwezez chukuo biochemistry ukarir yote utanipa matokeo
 
Haya yalinitokea leo, kuna ndugu yangu nimekuwa nikiishi naye kwa muda mrefu, ila mwezi huu wa saba sikuweza kumuona, ghafla leo nikakutana nae, akawa wa kwanza kutaja jina langu, katika purukushani za kusalimiana nikashindwa kumtambua kabisa, je, kuna nini imeniingilia kwenye kumbukumbu?

Punguza stress.....jaribu kufanya stress management e.g. punguza concentration ya vitu vinavyokusumbua, pumzisha mwili na akili n.k. Hiyo sio ishara nzuri sana.......!
 
No hilo ni tofauti, hiyo inaitwa forgetfulness, sio tatizo kabisa, huwezi amini mimi nata mobile number ya wife siijui ila nimesave jina!. Sikumbuki number za magari, wala siweki kichwani number za simu!. Siwakumbuki kwa majina baathi ya watu niliomaliza nao chuo, ila nakumbuka baadhi ya majina niliosoma nao vidudu!. Hii hutokea tuu ila kuna mazoezi ya kuimprove memory, tembelea hapa Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wana

huko utakutana na maticha wa ukweli.
Pasco
Hauwezi kuwa intelligence officer ha ha ha
 
Haat Mim ishawahi kunitokea:Tulikuwa watu zaidi ya watano,tuliambatana safari moja kwenda sehem flani,sehem hiyo mm naijuwa vyema tu.Baadae mii ufahamu ukakata.Nikawa sipatambui wapi tulipo,au wapi tunaelekea,na sikuwaambia wenzangu,Niliendelea kuburuzwa mpka tukafika,wakamaliza yaliyo tupeleka.Baada ya kuanza kurudi,Kama dk 10 ndipo faham zilinirudia.Aisee nilistaajabu,maana hali hiyo haikuwahi kunitokea kabla.
 
Back
Top Bottom