Msaada: Nimetupiwa kipande nateseka mwaka wa 3 sasa, nahitaji msaada

unakosaje watu wakati kwenye vikoba wamejaa tele kajichanganye
 
Hapa wengi hawawezi kukuelewa vita katika maisha hasa ya biashara ni kubwa sana.. Pole sana naamini utapata msaada!.
Sasa nakupa huduma ya kwanza kama unahisi unaweza fanya ukiona haikufai chukua majivu loweka kwenye ndoo oga then chukua malumba lumba wengine wanaita kivumbasi na yawe majani weka kwenye sufulia chemsha jifukize hayo majani yawe mengi baada ya kujikiza acha yapoe na uyaoge huku ukijisugua na hayo majani kwa manuizi ya matatizo yako
 
Kama utani lakini unaumia hivo.
Kufanikiwa kuna hitaji ukomavu na roho ngumu haswaa.
Hapo ndo umeingia ulingoni sasa kadiri utakavokuwa unarudia hali yako ya zamani mdo kadiri utapingwa.
 
Kwanza samehe wale wote waliokukosea na ambao umewakosea uwasamehe kabisa. halafu nenda kanisani au msikitini na utoe sadaka ya urejesho wa nafsi Yako,maana inawezekana wachawi wameichukua nafsi Yako nzuri wakakuvalisha kivuli kinachokuzuia na kuwaogopa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nadhani kama wewe unahisi labda pengine wengine hawana akili ya kupambanua mambo ni vema uka skip post huwez pungukiwa kitu mkuu. πŸ™πŸ»
 

NAKAZIA
 
Pole ndg,Mungu akusaidie.
Dunia hii,ni uwanja wa fujo.
Yahitaji kukaza moyo!
 
Kuna mtu uliwahi kufanyia ubaya kabla au kutembea na mwanamke na kumuacha?

TUANZIE HAPO KIJANA
 
Ametupiwa kipande πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Uzi wa kupata mume / mke mwenye akili nilisema wa Tanzania tunaamini sana ushirikina. Hivyo ni ngumu kupata mwenza asieamini ushirikina Tanzania.

Maneno ya jamaa kutupiwa kipande ni ushahidi wa wazi
 
Pole sana, labda ujaribu kutafuta tafsiri ya hizo ndoto unazoziota mfano unaota unazikwa au kubeba jeneza. Kingine hiyo nyota yako wamekuibia. Jaribu kwenda Pemba nasikia kuna traditional healers wazuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…