Msaada: Nimetupiwa kipande nateseka mwaka wa 3 sasa, nahitaji msaada

Msaada: Nimetupiwa kipande nateseka mwaka wa 3 sasa, nahitaji msaada

Hapana. Alikuja akaanza kuvimba miguu ikawa inajaa maji. Hamu ya kula ilikata. Akaanza kupoteza kumbukumbu, mwishoni akawa analalamika watu wanamtwisha vitu vizito.
Dah na mimi kwa sasa miguu inavimba na kuwaka moto kwa ndani, lakini hali yake ikoje kwa sasa?
 
Back
Top Bottom