Msaada: Nimetupiwa kipande nateseka mwaka wa 3 sasa, nahitaji msaada

Msaada: Nimetupiwa kipande nateseka mwaka wa 3 sasa, nahitaji msaada

Japo wengine hufikiria kujiua ili kuondokana na hizi shida za dunia lakini mimi NASEMA KAMA MUNGU ALIRUHUSU MATATIZO HAYA KUNIPATA BASI ASIPORUHUSU KUPATA MSAADA WA KUPONA KABISA BASI NITAISHI HIVIHIVI, SIWEZI KUJIUA[emoji1548][emoji375]
Hua nachukia sana upumbavu huu wa kuamin eti Mungu ametaka upate shida na mateso ..this is ruubish kabisa ..sitokaa niamin huu upumbavu. Mungu ametupa brain zenye akili. Tumia akili ku survive kwenye hii dunia, iwe dark ama light..
 
Sawa🙏🏻
 
Mkuu nakuapia usipochukua hatua madhubuti watakumaliza ..usionee huruma maadui n wachawi..uskae kizembe nakueleza kweli
Ndg nimeeleza hapo juu juhudi ninazozifanya mpaka sasa naendelea kufanya ili kuweza kupata kupona sijakaa kwa miaka 3 sasa so unaposema kukaa kizembe nashindwa kuelewa mkuu.
 
Haya matatizo sijawahi kuyasikia wayapate kina Mo, Bakhressa, GSM etc au na wenyewe wamejikinga ndo maana hawakwami kibiashara?
 
Ni kweli na matatizo hayawezi kufanana kulingana na cycle ya maisha. Unachokiona wewe kidogo wapo wanaotamani ukose kabisa.
 
Back
Top Bottom