Msaada: Nimeugua mara kadhaa magonjwa ya zinaa na sasa kuna mabadiliko ya maumbile yanatokea katika nyeti zangu

Msaada: Nimeugua mara kadhaa magonjwa ya zinaa na sasa kuna mabadiliko ya maumbile yanatokea katika nyeti zangu

lekumok

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2018
Posts
589
Reaction score
770
Habari jioni wapendwa,tafadhalini mwenye uelewa juu ya hili anisaidie nawaomba nimeugua maradhi ya zinaa zaidi ya mara tano au zaidi,kilichonipelekea kuandika uzi huu ni kwamba korodani {pumb*}moja imeshuka

Yaani zimepishana moja imevutika na nyingine ipo kawaida,kingine uume umekua mwembamba tofauti na mwanzo kingine uwezo wa kushiriki tendo imeshuka tofauti na mwanzo,

Mwanzo nilikua naenda hadi raundi 4 lakini now mbili tu halafu ni kwa mda mchache nisaidieni ili nijue tatizo ni nini nawatakia usiku mwema.
 
Yaani hapo kwa ufupi unatoka katika hali ya Mwanamme mashine na kuwa Hanithi.

sasa sema ukweli ili wataalamu wa tiba asili na tiba mbadala wajue pa kuanzia.
Umetembea na mke wa Mtu?

Hayo magonjwa umekuwa ukishiriki ngono na wanawake wengi sana tofauti na mpenzi wako?

Unasali/Unamwabudu Mungu kisawasawa?
 
Mchaga Mimi nilikaa kwa wabena hiyo hali wanaiita lukole
 
Acha kutumia vumbi la congo, punguza nyeto. Acha kununua mademu
 
Sijaona msaada zaidi ya kuniponda.haya jamani yote maisha
 
Acha kutumia vumbi la congo, punguza nyeto. Acha kununua mademu
Ni kweli nilikua nanunua sana wanawake halafu naenda pekupeku,nilikua pia mfalme wa chaputa ila saivi vyote nimeacha tangia huu mwaka uanze.je kuna uwezekano wa kurudi Hali ya kawaida?
 
Habari jioni wapendwa,tafadhalini mwenye uelewa juu ya hili anisaidie nawaomba.nimeugua maradhi ya zinaa zaidi ya mara tano au zaidi,kilichonipelekea kuandika uzi huu ni kwamba korodani {pumb*}moja imeshuka,yaani zimepishana.moja imevutika na nyingine ipo kawaida,kingine uume umekua mwembamba tofauti na mwanzo.kingine uwezo wa kushiriki tendo imeshuka tofauti na mwanzo,mwanzo nilikua naenda hadi raundi 4 lakini now mbili tu halafu ni kwa mda mchache.nisaidieni ili nijue tatizo ni nini.nawatakia ucku mwema
 
Km umegegeda mke wa mtu hiyo ndo adhabu yako dadadeki....!!!!, ushauri: mtafute jamaa uliemgegedea mkewe umuombe msamaha fasta myamalize kbl hujaanza kuota maziwa kichwani mnduku kuhamia usoni
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].kweli wabongo hatupendani,nitaponagatu broo
 
Back
Top Bottom