lekumok
JF-Expert Member
- Feb 8, 2018
- 589
- 770
Habari jioni wapendwa,tafadhalini mwenye uelewa juu ya hili anisaidie nawaomba nimeugua maradhi ya zinaa zaidi ya mara tano au zaidi,kilichonipelekea kuandika uzi huu ni kwamba korodani {pumb*}moja imeshuka
Yaani zimepishana moja imevutika na nyingine ipo kawaida,kingine uume umekua mwembamba tofauti na mwanzo kingine uwezo wa kushiriki tendo imeshuka tofauti na mwanzo,
Mwanzo nilikua naenda hadi raundi 4 lakini now mbili tu halafu ni kwa mda mchache nisaidieni ili nijue tatizo ni nini nawatakia usiku mwema.