Msaada nimfanyie nini mwanamke huyu ili asijihisi vibaya?

Msaada nimfanyie nini mwanamke huyu ili asijihisi vibaya?

Mimi nahisi nimeumbwa tofauti. Likija swala la utelezi hisia zitakuja tu mengine tutajua mbeleni.
 
Una tatizo braza sio bure..
Hizi mambo za kutokua na hisia na mtu hadi kutohisi chochote mkiwa kunako kwa mara ya kwanza nazisikiaga kwa ke tu.

Hii yako kwamba mmeingia mpaka rooma uliyolipia bado hukufanya majmbozi.

Soln hapo mkatie mawasilino kama huwezi kua nae.
Wanawake wengine wana mambo yao
 
Habar wakuu,

Ni takriban miez 2 tangu nifahamiane na huyu bi dada, Kuna stori behind iliyofanya tufahamiane nae japo kuielezea hapa nitawachosha wasomaji,

Kwa mwanzoni sikuwa namzingatia maana alikuwa anaweza akasafiri kutoka kwake hadi mitaa ya hom na kuomba tuonane na tukishaonana tunapga stori kisha anaondoka ikawa mazoea ya kufanya hivyo hadi mda mwingine nikawa namuonea huruma why anajitolea kutoka kwake mbali kote kuja mtaani kwangu kunisalimia tu,

So nikawa mda mwingine akija nampa nauli hata buku 5 au 10 ili atumie kama usafiri wa kurud coz kutoka kwake hadi kwangu anapanda magari daladala 2 kwa wenyeji wa Dom ni kutoka Veyula hadi Mnada Mpya.

Tumeenda ikafika mda kaamua kunifungukia kiwa anamielewa since day one naonana nae ila changamoto japo hata kama mimi kwa namna flani ni kitom....bi ila kwa huyu dada sijawah kuwa na feeling nae kabisa, na ni pisi kali kabisa ya kinyaturu ila sjui why huyu dada sina hisia nae, maama kuna watu wakiniona nae wanataman hiyo nafasi ila kwangu nashindwa kujua why sina hisia nae hata tone,

Kuna siku niliforce nikachukua chumba LOUGE ila cha ajabu nipo nae kitandani ila nikijthathimin bado anajaribu romance ila sikuwa na hisia nae kabisa, ikabidi nitumie mbinu ya kumpanga mwana anipgie sim ili niuze kesi kuwa nimepata dharula,

Cha ajabu nilimwacha Louge toka mchana kwa kumwahidi nitarud nikasepa kwa mishe zangu na sikurudi ila alilala peke yake na sim zake nilikuwa sipokei nikiamini pengine akitoka hapo hatanichek tena ila Bado ndio kama niliwasha moto wa kunifuatilia,

Kuna mda na Ignore sim zake ili akate tamaa ila bado nikitokea kumjibu hata sms moja hapo anarud upya usumbufu kama wote.

Nataman nipate Ushauri namna ya kubadilisha pysychology yake ili ahamishe akili yake katika kunitaman kimapenzi a move on ila asiumie wala kujihis vibaya kuwa sina hisia nae, na heshim yangu kwake ibaki palepale,

Au hata nipate ushauri namna naweza kufanya nimle mwanamke ambae sina hisia nae ili aridhike tu maana naona sasa ni kero sasaView attachment 3048206
Mwanamke akikuelewa utaishi kwa amani sana. Huyo ndiyo wa kuoa maana utakuwa na amani
Mapenzi pasua kichwa, ukimpata huyo mwenye ambaye utakuwa na hisia naye, unaweza usitamani tena mapenzi
Jaribu kutoka naye out na kuwa naye muda mwingi huenda hisia zikaja
 
Back
Top Bottom