Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Halafu mbona kuna wanawake wengi tu ambao hawajazaa?
Unakwama wapi Mkuu?
Unakwama wapi Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye kuoa mwenye maamuzi ni wewe bhanaHabari zenu Wana JamiiForums?.
Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Kwa miezi kumi sasa. Dada huyo ni mama WA MTOTO mmoja WA miaka mitano, jamaa aliyezaa naye walisha achana siku nyingi, na Kwa SASA ana familia yake, ila wanalea tu mtoto.
Sasa Kwa BAHATI MBAYA au NZURI huyo dada ana ujauzito wangu WA miezi mitatu na wiki CHACHE ZILIZOPITA niliwasilisha taarifa Kwa wazazi wangu na kusudio langu la kutaka kumuoa. Lakini wazazi wamemkataa katakata na hofu yao ni kwamba mabinti ambao ni single mother mahusiano yao na wazazi wenzao huwa hayaishi, hivyo walishauri niachane naye na nijiandae kulea mtoto atakayezaliwa kama mwanaume wake WA kwanza anavofanya.
Mimi nampenda huyo binti ila wazazi wamemkataa, hapo ndo naumiza kichwa. Na pia wazazi wamesema vinginevyo nikubali kuishi na kulea mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine Ili kupunguza mawasiliano kati yake na huyo mzazi mwenzie.
Lakini Mimi suala la kulea mtoto WA mwanaume mwenzangu naona itakuwa fedhea sana kwangu. Naombeni ushauri wenu, niwasikilize wazazi au Nile ngumu nimuoe hivyo hivyo.
Haya ndio matunda ya uasherati. Nyakati kama hizi huja. Kama ulijua ana mtoto na wanalea mtoto wao, na wewe ukaona sio tabu ukaweka mbegu, leo unasema kulea mtoto wa mwenzio ni ngumu?Habari zenu Wana JamiiForums?.
Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Kwa miezi kumi sasa. Dada huyo ni mama WA MTOTO mmoja WA miaka mitano, jamaa aliyezaa naye walisha achana siku nyingi, na Kwa SASA ana familia yake, ila wanalea tu mtoto.
Sasa Kwa BAHATI MBAYA au NZURI huyo dada ana ujauzito wangu WA miezi mitatu na wiki CHACHE ZILIZOPITA niliwasilisha taarifa Kwa wazazi wangu na kusudio langu la kutaka kumuoa. Lakini wazazi wamemkataa katakata na hofu yao ni kwamba mabinti ambao ni single mother mahusiano yao na wazazi wenzao huwa hayaishi, hivyo walishauri niachane naye na nijiandae kulea mtoto atakayezaliwa kama mwanaume wake WA kwanza anavofanya.
Mimi nampenda huyo binti ila wazazi wamemkataa, hapo ndo naumiza kichwa. Na pia wazazi wamesema vinginevyo nikubali kuishi na kulea mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine Ili kupunguza mawasiliano kati yake na huyo mzazi mwenzie.
Lakini Mimi suala la kulea mtoto WA mwanaume mwenzangu naona itakuwa fedhea sana kwangu. Naombeni ushauri wenu, niwasikilize wazazi au Nile ngumu nimuoe hivyo hivyo.
nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja
huyo dada ana ujauzito wangu
Mkuu, neno sahihi ni mamanampenda huyo binti ila wazazi wamemkataa
Wamempa ushauri vizuri sana easy path Wala hata hana sababu ya kuhofiaNakazia hapa.
Jichanganye ujute...
Unakipotosha Kiswahili kwanini amuite mama wakati ni binti mwenye ujauzito wake? Ni afadhali amuite binti tu. Kumuita mama/dada sio sawa wakati anapiga!Mkuu, neno sahihi ni mama
.....Jiandae kupigiwa na mwenye mtoto wake!Ukioa mwanamke mwenye mtoto
Achana naye haraka sana.Huyo siyo wa kuoa ni chapa ilal tuHabari zenu Wana JamiiForums?.
Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Kwa miezi kumi sasa. Dada huyo ni mama WA MTOTO mmoja WA miaka mitano, jamaa aliyezaa naye walisha achana siku nyingi, na Kwa SASA ana familia yake, ila wanalea tu mtoto.
Sasa Kwa BAHATI MBAYA au NZURI huyo dada ana ujauzito wangu WA miezi mitatu na wiki CHACHE ZILIZOPITA niliwasilisha taarifa Kwa wazazi wangu na kusudio langu la kutaka kumuoa. Lakini wazazi wamemkataa katakata na hofu yao ni kwamba mabinti ambao ni single mother mahusiano yao na wazazi wenzao huwa hayaishi, hivyo walishauri niachane naye na nijiandae kulea mtoto atakayezaliwa kama mwanaume wake WA kwanza anavofanya.
Mimi nampenda huyo binti ila wazazi wamemkataa, hapo ndo naumiza kichwa. Na pia wazazi wamesema vinginevyo nikubali kuishi na kulea mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwinginae Ili kupunguza mawasiliano kati yake na huyo mzazi mwenzie.
Lakini Mimi suala la kulea mtoto WA mwanaume mwenzangu naona itakuwa fedhea sana kwangu. Naombeni ushauri wenu, niwasikilize wazazi au Nile ngumu nimuoe hivyo hivyo.ana
Huu ushauri wako leo ingekua ni 80's ama early 90's ungefanya kazi ila kwa kizazi hiki bora achukue mwanae alee kuliko kuoa mwanamke mwenye mtoto,Chukua ushauri wa Wazee wako Kwa kumlea huyo mtoto uliyemkuta naye Waifu wako
Hii itapelekea mawasiliano ya Mkeo na Baba mtoto wake yaishe
Hata hivyo inaonesha wewe ni Mbinafsi Mkuu
Unaposema huwezi kulea mtoto wa Mwanaume mwenzako, vipi kama huyo mpenzi wako angekukuta na mtoto, naye angekufanyia hivyo.
Ungependa kweli?
Sio Wanawake wote wanaweza kupasha kiporo na Baba watoto wao baada ya kutengana
Huku tunasema ni sawa na kazi za nje unapiga Alfa na Omega bas unaachana naeAchana naye haraka sana.Huyo siyo wa kuoa ni chapa ilal tu
Itafute Sana Aman uifuateHabari zenu Wana JamiiForums?.
Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Kwa miezi kumi sasa. Dada huyo ni mama WA MTOTO mmoja WA miaka mitano, jamaa aliyezaa naye walisha achana siku nyingi, na Kwa SASA ana familia yake, ila wanalea tu mtoto.
Sasa Kwa BAHATI MBAYA au NZURI huyo dada ana ujauzito wangu WA miezi mitatu na wiki CHACHE ZILIZOPITA niliwasilisha taarifa Kwa wazazi wangu na kusudio langu la kutaka kumuoa. Lakini wazazi wamemkataa katakata na hofu yao ni kwamba mabinti ambao ni single mother mahusiano yao na wazazi wenzao huwa hayaishi, hivyo walishauri niachane naye na nijiandae kulea mtoto atakayezaliwa kama mwanaume wake WA kwanza anavofanya.
Mimi nampenda huyo binti ila wazazi wamemkataa, hapo ndo naumiza kichwa. Na pia wazazi wamesema vinginevyo nikubali kuishi na kulea mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine Ili kupunguza mawasiliano kati yake na huyo mzazi mwenzie.
Lakini Mimi suala la kulea mtoto WA mwanaume mwenzangu naona itakuwa fedhea sana kwangu. Naombeni ushauri wenu, niwasikilize wazazi au Nile ngumu nimuoe hivyo hivyo.
usikilize moyo wako ndipo uamue,ama kuhusu mtoto,mruhusu aende kwa baba yake mzazi,hizo alinacha zingine achana nazoHabari zenu Wana JamiiForums?.
Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Kwa miezi kumi sasa. Dada huyo ni mama WA MTOTO mmoja WA miaka mitano, jamaa aliyezaa naye walisha achana siku nyingi, na Kwa SASA ana familia yake, ila wanalea tu mtoto.
Sasa Kwa BAHATI MBAYA au NZURI huyo dada ana ujauzito wangu WA miezi mitatu na wiki CHACHE ZILIZOPITA niliwasilisha taarifa Kwa wazazi wangu na kusudio langu la kutaka kumuoa. Lakini wazazi wamemkataa katakata na hofu yao ni kwamba mabinti ambao ni single mother mahusiano yao na wazazi wenzao huwa hayaishi, hivyo walishauri niachane naye na nijiandae kulea mtoto atakayezaliwa kama mwanaume wake WA kwanza anavofanya.
Mimi nampenda huyo binti ila wazazi wamemkataa, hapo ndo naumiza kichwa. Na pia wazazi wamesema vinginevyo nikubali kuishi na kulea mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine Ili kupunguza mawasiliano kati yake na huyo mzazi mwenzie.
Lakini Mimi suala la kulea mtoto WA mwanaume mwenzangu naona itakuwa fedhea sana kwangu. Naombeni ushauri wenu, niwasikilize wazazi au Nile ngumu nimuoe hivyo hivyo.
Ndugu yangu kwenye hilo suala sikiliza wazazi wako,narudia tena sikiliza wazazi wako aisee yasije yakakukuta mazito huko mbele ya safariHabari zenu Wana JamiiForums?.
Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Kwa miezi kumi sasa. Dada huyo ni mama WA MTOTO mmoja WA miaka mitano, jamaa aliyezaa naye walisha achana siku nyingi, na Kwa SASA ana familia yake, ila wanalea tu mtoto.
Sasa Kwa BAHATI MBAYA au NZURI huyo dada ana ujauzito wangu WA miezi mitatu na wiki CHACHE ZILIZOPITA niliwasilisha taarifa Kwa wazazi wangu na kusudio langu la kutaka kumuoa. Lakini wazazi wamemkataa katakata na hofu yao ni kwamba mabinti ambao ni single mother mahusiano yao na wazazi wenzao huwa hayaishi, hivyo walishauri niachane naye na nijiandae kulea mtoto atakayezaliwa kama mwanaume wake WA kwanza anavofanya.
Mimi nampenda huyo binti ila wazazi wamemkataa, hapo ndo naumiza kichwa. Na pia wazazi wamesema vinginevyo nikubali kuishi na kulea mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine Ili kupunguza mawasiliano kati yake na huyo mzazi mwenzie.
Lakini Mimi suala la kulea mtoto WA mwanaume mwenzangu naona itakuwa fedhea sana kwangu. Naombeni ushauri wenu, niwasikilize wazazi au Nile ngumu nimuoe hivyo hivyo.
Umeshayatimba. Huwezi kutofautisha matunzo ya mama na mtoto wake. Baba wa mtoto mwingine akishindwa wewe utawajibika kwa kujua ama kutokujuaLakini Mimi suala la kulea mtoto WA mwanaume mwenzangu naona itakuwa fedhea sana kwangu.
Habari zenu Wana JamiiForums?.