Msaada: Nimuoe huyu binti au nisikilize ushauri wa Wazazi wangu?

Ukiwapenda dagaa huwezi kukwepa mchanga
 
Kaka Mimi nilikuwa na mahusiano na single mother na tumeachana hivi karibuni,,kutokana na ozoefu wangu nasema hivi,,"UKIONA MDADA TAYARI ANA MTOTO(single mother)"IKIWEZEKANA UMKIMBIE KABISA ,,kwa ajili ya utulivu wako wa kiakili,,LA SIVYO,,""unaweza ukafa mapema kabla ya muda wako"".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…