Msaada: Nina Funza Mguuni

Watu wengine mnajua 'kufake' kwa kweli. Na ndio uanaume wa Dar huo.

Yani upo na mtu ambae ameweza kujua tatizo ni funza alafu huyo mtu asikupe suluhu ya tatizo hilo mpaka ulete uzi JF?

Nadhani umetumia akili za huyo funza aliyeko mwilini mwako.
Kila kitu wanaume wa Dar,
Kwanza Tz hii sidhan kama kuna mens wanapambana kama wa Dar,
Naomba kujulishwa mkoa mwingine tofauti na hapa ambao wanaume wanapambana day/night tuanzie ktk daladala!!! Mwanza ikifika saa 6 jiji lote kimyaa, sikuambii mikoa iliyobaki
 
Mimi mwenyewe huwa hata sijui wanaume wa Dar mkoje huwa nasikia tu.
 
Hayo makitu sio mazuri sana kwanza tabia ya hao funza unaweza washwa kidole kile kidogo kumbe mzigo upo kile cha kati yaani isiombee kabisa na muwasho wake ni mtam pale anapotema vile vi maji maji yaani unajisikia kusugua hata na msumari au kitu chenye ncha kali
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…