Heron
JF-Expert Member
- Oct 4, 2013
- 1,946
- 1,800
Kila kitu wanaume wa Dar,Watu wengine mnajua 'kufake' kwa kweli. Na ndio uanaume wa Dar huo.
Yani upo na mtu ambae ameweza kujua tatizo ni funza alafu huyo mtu asikupe suluhu ya tatizo hilo mpaka ulete uzi JF?
Nadhani umetumia akili za huyo funza aliyeko mwilini mwako.
Kwanza Tz hii sidhan kama kuna mens wanapambana kama wa Dar,
Naomba kujulishwa mkoa mwingine tofauti na hapa ambao wanaume wanapambana day/night tuanzie ktk daladala!!! Mwanza ikifika saa 6 jiji lote kimyaa, sikuambii mikoa iliyobaki