Msaada Nina homa Kali sana

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
237
Reaction score
165
Mim kwa muda mrefu nmekuwa nikiigua homa Kali sana bila kupata nafuu

Cha kwanza nikapima ukimwi majibu yakatoka npo negative


Then nikapima UTI,TYPHOD,Amiba,maralia nikaambiwa Nina maradh hayo

Wakanipa dawa yaan wakati natumia hzo dawa kidogo nikawa najisikia ahuen kidogo baada ya kumaliza doz nikakaa siku 3 homa ikajirudia Kali sana nikapewa dawa tena lkn hali yangu haijatengamaa Homa Kali sana inanisumbua

Msaada jaman nmechoka yaan nmekata tamaa kwasasa
 
Pia nilicheki mpka full blood picture nikaambiwa sina tatizo lolote
 
Cheki BP na fanya kipimo cha TB...
Na kama hakuna dalili za TB inakuwaje. Kwasababu kutoa jasho Usiku, kukonda , kukohoa damu, . Kifua kisichopona, Kwa maelezo ya jamaa ni homa Kali tuu
 
Jaribu kwenda hospital kubwa zaidi ya hiyo uliyokwenda awali.
 
Naomba uniandikie dawa ulizoandikiwa kwa matatizo hayo.

Fahamu pia magonjwa hayo husababisha homa sometimes kali.

Fanya nilivyokuomba then nitashauri zaidi!
 
Aliyekushauri kunywa maji mengi hapo juu yupo sahihi kabisa hebu ua siku kaa tu nyumbani unywe tu maji na kukojoa mpaka mkojo uwe mweupe kabisa utapona baada ya siku moja tu hiyo ndio tiba idid the same nilipokua na shida kama hiyo na tatizo ukienda hospital hawawezi kukuambia sana sana wakiona hiyo yellowish ya mkojo watakuambia ni infection watakupa dawa tena zitakazokuumiza zaidi .stop taking more drugs piga maji mengi hata ya dafu na juisi ya miwa komaa nayo mbona tatizo dogo sana hilo ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…