Msaada: Nina kesi yangu ya madai natafuta Wakili

Msaada: Nina kesi yangu ya madai natafuta Wakili

Kizito16

Member
Joined
Dec 16, 2019
Posts
25
Reaction score
16
Wana JF habari za muda huu.

Nina shida na wakili anisaidie katika ishu yangu ya madai.

Kama unamfahamu Wakili mzuri naomba niunganishe ikiwezekana nipate mawasiliano yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesi ya madai unadai sh ngapi? Usijekalipa milioni moja kwa wakili wakati unadai laki nne. Kama unadai pesa ndogo ambazo mamlaka yake (jurisdiction ) ni kusikilizwa ma mahakama ya Mwanzo kafungue kesi mahakama ya Mwanzo alafu atapewa summons ambayo inamueleza juu ya deni lake mkienda mahakamani kama unaushahidi wa kutosha atakulipa. Ila kama unadai mil 50 kwenda mbele tafuta wakili nae ale chake.
 
Back
Top Bottom