loweka kwenye maji ya machungwa!
Hii nayo mpya
It works though...!
I doubt...
Tumia Aunt Zainab Super Clay zitakaa sawa. Na hata wale wenye ngozi ngumu za miguuni kwenye nyayo zinazo katika katika imewasaidia sana;
https://www.jamiiforums.com/matanga...ural-unaolainisha-ngozi-sasa-unapatikana.html
Dozi ikoje, machungwa mangapi na maji kiasi gani ya kuchanganya, na naloweka kwa muda gani,
Jaribu kutumia kisu, mkasi wa bati au mkasi wa michongoma.Wakuu hebu nisaidieni,
Hii inasababishwa na nini? Je ni ugonjwa au kawaida? Mi nimekuwa nina kucha Ngumu vibaya mno, siwezi kuzikata na kiwembe zikikua, nail cutter ndogo huwa zinavunjika, labda zile kubwa ndo zinahimili.
Sasa je, hii inasababishwa na nini? Je ni Tatizo kiafya?
Asante nitakutafuta asiee