upupu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2008
- 614
- 198
Wakuu hebu nisaidieni,
Hii inasababishwa na nini? Je ni ugonjwa au kawaida? Mi nimekuwa nina kucha Ngumu vibaya mno, siwezi kuzikata na kiwembe zikikua, nail cutter ndogo huwa zinavunjika, labda zile kubwa ndo zinahimili.
Sasa je, hii inasababishwa na nini? Je ni Tatizo kiafya?