Msaada: Nina Mafua yasiyopona

Msaada: Nina Mafua yasiyopona

ashidodi

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
291
Reaction score
340
Ninamafua yasiyopona ndugu zangu nahitaji msaada wa maoni na ushauri, pua zangu hazijawahi kukaa huru bila kuziba takriban mwaka na nusu sasa
 
Dah hii had mm haloo cjawai kukaa wiki u siku tatu bila mafua
 
Mafua sio ugonjwa,jitahidi kufanya mazoezi sana mara kwa mara unapopata nafasi itakusaidia!
 
Back
Top Bottom