Msaada, nina maumivu chini ya mgongo

Msaada, nina maumivu chini ya mgongo

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Wakuu naombeni msaada wenu, kwa muda wa miezi mitatu sasa chini ya mgongo nahisi kuwaka moto sijui hili ni tatizo la aina gani nisaidieni.
 
Wakuu naombeni msaada wenu, kwa muda wa miezi mitatu sasa chini ya mgongo nahisi kuwaka moto sijui hili ni tatizo la aina gani nisaidieni.
InaIwezekana ni UTI hebu nenda hospital kapime mkojo
 
InaIwezekana ni UTI hebu nenda hospital kapime mkojo

Mkuu asante inawezekna kweli coz mara nyingine ninapo pata haja ndogo huwa naic maumivu asante itabidi niende fasta hospital..!!
 
Kama maumivu hayo yapo kwa nyuma usawa wa kiuno itakuwa ngiri
 
Pole sana mkuu na kwawenzako wote wenye tatizo la maumivu ya kiuno/mgongo. Mimi ninayo dawa ya kuponesha tatizo lako ndani ya siku3.
Gharama zangu ni ndogo sana sh20,000/= unapata dawa popote ulipo. Kuna mashuhuda wengi humu ndani ya JF ambao wamepona kwa kutumia hii dawa. Nipigie kwa 0715083408
CC Mwinjuma1, Kilimo h.imani etc
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom