Sawa mkuu...Unaweza nisaidia hospital nazoweza kwenda kwa DsmNakushauri usipende kukata tamaa mapema, mpeleke hospital haraka sana huyo mtoto,zipo hospital kubwa tatizo hilo n dogo!! Waaamini madaktari
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumempima, hakuna hilo tatizoMmh! Nina wasiwasi mkubwa sana huenda aliwahi kunajisiwa.
Fanya utafiti wa kina, lakini pia mpeleke hospitali kubwa zaidi ya umma.
Wewe ulimpeleka hospital gani mwanzoni?Sawa mkuu...Unaweza nisaidia hospital nazoweza kwenda kwa Dsm
Mkoa wa Morogoro, nataka kumpeleka DSM
Ewaaaahhhh!!! Mpeleke hospital za DSM nadhani zipo kubwa zinajurikana!!Mkoa wa Morogoro, nataka kumpeleka Dsm