Wakuu mnisaidie,
nimejaribu sana hospital na dawa za hapa na pale. Mwanangu ana miaka miwili. Anajisaidia bila kusema kila baada ya nusu saa, tena kinyesi kidogo sana!
Mwanzoni alikuwa akitaka kujisaidia anasema, ila sasa hivi anajisaidia "unconditionally" kila baada ya dakika chache, tena kinyesi kidogo.
Mwanzoni Dr alisema amoeba na askaris, kapata dawa lakini tatizo bado.
Je, tatizo itakuwa nini na nifanye nini ili kunsaidia?