MERCIFUL
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 2,788
- 3,126
Pamoja na kucheki matairi yako kwenye hali gani.Uende gereji mafundi wafanyie service
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kucheki matairi yako kwenye hali gani.Uende gereji mafundi wafanyie service
Sasa kwanini umkejeri jamani? Bora hata ungemkejeli 😉wise people mmebaki wachache mi nilijiandaa kumkejeri hahaha
Tungekuwa na asilimia 50% au zaidi ya members Wa jf wenye michango ya namna hii watanzania tungekuwa tumefika mbali sana kisaikolojia na kimaendeleo... Big up!!1. Mwendokasi utasaidia wewe kusave sana hela. HOW?
Kwanza fuata vibao vya barabarani. Kwenye 50KPH tembea speed hiyo hiyo ili usigombane na matrafick Wakachukua 30,000TSH zao. Na unaporuhusiwa above 50KPH tembea kati ya 80KPH to 120KPH. Usitoke kwenye hii range. Hapo ulaji wa mafuta utakua ni minimum. Vioo ukiwa umefunga. Vilevile angalia braking na acceleration zako. Usikanyage sana wese ili ukoleze gari mapema. Wese linaenda sana pale. Na epuka braking za ghafla. Unachakaza gari na hatari.
Kwahiyo speed ni muhimu kwa afya ya chombo, gharama na usalama wa wasafiri.
2. Mafuta lita 50 more than enough. Tukiassume una 2.0L car kwa hizo kilometer 350 za Dar to Tanga kwa hiyo gari ikiwa na consumption ya 10KM/L utatumia lita 35 tu. So utabakiwa na lita kibao tu za Misele. But kumbuka service ya gari, uendeshaji wa dereva (especially hapo kwenye acceleration ) kutachangia sana ulaji wa wese.
3. Huo umbali mfupi sana. Kanyaga moja kwa moja. Stop and go zinaongeza ulaji wa mafuta sana. Kwahiyo piga moja kwa moja.
Additional:
4. Ondoka mapema sana kama saa 10 asubuhi. Ukiondoka saa 12 utakua unafanya racing na mabasi ya mkoa. Sio viunbe wazuri wale.
5. Pitia njia ya Bagamoyo. Ni fupi zaidi. Kama huijui vizuri, tumia Google Map. BTW huwezi kupotea.
6. Kama mtakua wawili itakua poa zaidi. Njiani mambo mengi.
7. Usipige vichwa. Ile kuokota abiria wa njiani. Ondoka na mtu unaemjua kutokea DSM.
8. Usalama kwanza. Seat Belt, Usitumie simu huku unaendesha.
All the Best Bro.
Mkuu kwa kawaida GX100 yenye engine G kavu inatakiwa kutumia litre moja kwa KM ngapi? Je, plug (let's say Denso) za meno matatu ni bora zaidi kuliko za meno mawili au moja? Tofauti ya hayo meno ni nini?1. Mwendokasi utasaidia wewe kusave sana hela. HOW?
Kwanza fuata vibao vya barabarani. Kwenye 50KPH tembea speed hiyo hiyo ili usigombane na matrafick Wakachukua 30,000TSH zao. Na unaporuhusiwa above 50KPH tembea kati ya 80KPH to 120KPH. Usitoke kwenye hii range. Hapo ulaji wa mafuta utakua ni minimum. Vioo ukiwa umefunga. Vilevile angalia braking na acceleration zako. Usikanyage sana wese ili ukoleze gari mapema. Wese linaenda sana pale. Na epuka braking za ghafla. Unachakaza gari na hatari.
Kwahiyo speed ni muhimu kwa afya ya chombo, gharama na usalama wa wasafiri.
2. Mafuta lita 50 more than enough. Tukiassume una 2.0L car kwa hizo kilometer 350 za Dar to Tanga kwa hiyo gari ikiwa na consumption ya 10KM/L utatumia lita 35 tu. So utabakiwa na lita kibao tu za Misele. But kumbuka service ya gari, uendeshaji wa dereva (especially hapo kwenye acceleration ) kutachangia sana ulaji wa wese.
3. Huo umbali mfupi sana. Kanyaga moja kwa moja. Stop and go zinaongeza ulaji wa mafuta sana. Kwahiyo piga moja kwa moja.
Additional:
4. Ondoka mapema sana kama saa 10 asubuhi. Ukiondoka saa 12 utakua unafanya racing na mabasi ya mkoa. Sio viunbe wazuri wale.
5. Pitia njia ya Bagamoyo. Ni fupi zaidi. Kama huijui vizuri, tumia Google Map. BTW huwezi kupotea.
6. Kama mtakua wawili itakua poa zaidi. Njiani mambo mengi.
7. Usipige vichwa. Ile kuokota abiria wa njiani. Ondoka na mtu unaemjua kutokea DSM.
8. Usalama kwanza. Seat Belt, Usitumie simu huku unaendesha.
All the Best Bro.
Si ndo maana ameomba msaada. Wewe mzoefu na magari au safari ni kiasi cha kumpa maelekezo tu afanyeje..!nilishaondoka na gari kama hiyo hadi kahama, non stop, wewe unaongelea Tanga?
Yeah I did the same thing last weekGari kama MarkII Grande yenye cc2500 inaenda Dar na kurudi TA ikiwa full tank, so am assuming RAV 4 yenye ~2000cc ikiwa full tank itafanya the same...
....This type of comments huwa zinaniacha hoi...Ngoja waje wajuvi wa mambo
1. Mwendokasi utasaidia wewe kusave sana hela. HOW?
Kwanza fuata vibao vya barabarani. Kwenye 50KPH tembea speed hiyo hiyo ili usigombane na matrafick Wakachukua 30,000TSH zao. Na unaporuhusiwa above 50KPH tembea kati ya 80KPH to 120KPH. Usitoke kwenye hii range. Hapo ulaji wa mafuta utakua ni minimum. Vioo ukiwa umefunga. Vilevile angalia braking na acceleration zako. Usikanyage sana wese ili ukoleze gari mapema. Wese linaenda sana pale. Na epuka braking za ghafla. Unachakaza gari na hatari.
Kwahiyo speed ni muhimu kwa afya ya chombo, gharama na usalama wa wasafiri.
2. Mafuta lita 50 more than enough. Tukiassume una 2.0L car kwa hizo kilometer 350 za Dar to Tanga kwa hiyo gari ikiwa na consumption ya 10KM/L utatumia lita 35 tu. So utabakiwa na lita kibao tu za Misele. But kumbuka service ya gari, uendeshaji wa dereva (especially hapo kwenye acceleration ) kutachangia sana ulaji wa wese.
3. Huo umbali mfupi sana. Kanyaga moja kwa moja. Stop and go zinaongeza ulaji wa mafuta sana. Kwahiyo piga moja kwa moja.
Additional:
4. Ondoka mapema sana kama saa 10 asubuhi. Ukiondoka saa 12 utakua unafanya racing na mabasi ya mkoa. Sio viunbe wazuri wale.
5. Pitia njia ya Bagamoyo. Ni fupi zaidi. Kama huijui vizuri, tumia Google Map. BTW huwezi kupotea.
6. Kama mtakua wawili itakua poa zaidi. Njiani mambo mengi.
7. Usipige vichwa. Ile kuokota abiria wa njiani. Ondoka na mtu unaemjua kutokea DSM.
8. Usalama kwanza. Seat Belt, Usitumie simu huku unaendesha.
All the Best Bro.
1.Andaa hela ya trafiki tu kama elfu 60 uwashikishe elfu5 kila wakikudaka just incase maana inaonekana hata Tanga hupajui.
2.Gari iwe full tank kukwepa usumbufu wa sheli na ufunge mkanda kabla hujaingia highway.
3.Usisahau kubeba spare tyre, jeki yako na maji na usali kabla ya safari.
4.Kupumzika sio lazima maana gari ya Rav 4 ina radiator cooling technology. Labda kama utajiskia uchovu sana ila roughly ni safari ya masaa 5 toka dar.
5.Usile chakula kizito (wali,ugali) kabla ya kuanza safari, digestion in tabia ya kuleta usingizi hasa majira ya mchana.
Wanaume was dar hao mkuunilishaondoka na gari kama hiyo hadi kahama, non stop, wewe unaongelea Tanga?
Utafia njiani
Korogwe tena!!!Sharo milionea aliponunua gari aliuliza hivihivi ingawa Safar yake iliishia korogwe
Asisahau kusimama kwenye michoro ya pundamiliaA) Mwendokasi 100-120km/hr
B) 55ltrs yaani full tank utafika yakiwa yamebakia robo tank
C) Ukipenda japo siyo lazima unaweza nyoosha moja kwa moja
NB. Tochi, kwny 50 tembea 50
Gari kama MarkII Grande yenye cc2500 inaenda Dar na kurudi TA ikiwa full tank, so am assuming RAV 4 yenye ~2000cc ikiwa full tank itafanya the same...
Safi sana mkuu, umefafanua vzr sana,1. Mwendokasi utasaidia wewe kusave sana hela. HOW?