WAKUONDOKA
Member
- Oct 8, 2014
- 46
- 24
Hahaa.. Akiweka 150k yake timu 5 tu milion 20 na upuuzi..Subiri had mwezi wa nane tar 13 uanze kubet
ushauri mzuliFungua genge LA nyanya vitunguu na matunda utapiga Pesa coz hizo ni mahitaji ya kila cku lazima tupike
Ulipata biashara gani mkuu....Nina shilingi laki moja na nusu nataka kuifanyia biashara, ushauri nifanye biashara ipi?
Kama ww ni ke ni pm nikuongezee mtajiNina shilingi laki moja na nusu nataka kuifanyia biashara, ushauri nifanye biashara ipi?