iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 440
- 1,086
Me pia natamani niwe normal hii hari initoke ndio maana nmekuja hapa jukwaani kuomba msaada wa ushauri jinsi ya kuachana na hari kama hiiKwa vile ni chuki tu na huwadhuru basi endelea.
Usijikoroge ukamvaa mtu kisa kafanana na unaemchukia, utaishia kula makonzi ya ugoko.
Halafu ikiwa hujawahi umba hata kipepeo, unapata wapi ujasiri wa kuchukua binadamu mwenzio?
Unajua kuwa chuki ni matumizi mabaya ya hisia?
Kuchukia mtu haijalishi kakufanyaje, kunamithilishwa na kunywa sumu huku ukitarajia unaemchukia ndio adhurike.
Kwa nini uwe na aduiNatumai mu buheri wa afya tele,
Bira kupoteza wakati, naombeni tiba ya kutatua tatizo hili, nina tatzo la kumchukia mtu yeyote nnaekutana nae balabalani anaefanana na adui yangu ama mtu nisiyempenda naye ntaanza kumchukia hapo hapo wala haijalishi kama hajawahi nikwaza ntamchukia hivo hivo kwasababu amefanana na adui yangu ambae tulishakwazana kitambo.