bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
- Thread starter
-
- #21
Je na tatizo la macho nalo analo? After that alipewa dawa au matibabu yake yaliishaje?Kuna mtu namfahamu ana tatizo km lako
CT SCAN ilionesha ana viuvimbe vidogovidogo kwenye ubongo na havitibiki kwa upasuaji maana ni vidogo sana
Tena hulalama kwamba "kichwa kinapiga kelele"
Jesus can sets you free from sickness and sin .Thank you brother for your concern and touch in my problem but I still hope hospital treatment can work.Thanks again.
Ana uoni mdogoJe na tatizo la macho nalo analo? After that alipewa dawa au matibabu yake yaliishaje?
Sure I believe him in another way, thanks.Jesus can sets you free from sickness and sin .
Try to believe in Jesus
Well come.Sure I believe him in another way, thanks.
Dah I wish ningekutana na mwenzangu at least tungekuwa tunaongea the same story,Unajua nn ndugu hali hii ilinitokea miezi 6 baada ya kung'olewa meno mawili ya juu kwa mpigo pale Magomeni hospitali but jino moja la kushoto lilikuwa limeshachokonolewa sana na daktari ktk kunifanyia RCT(Root Canal Termination) but baadae likaanza kuuma teba basi nikaona usumbufu ndipo nikamwambia dokta ayang'oe yote basi baada ya hapo miezi 6 baadae hali hii ndipo ikajitokeza tena kwa ghafla.Ana uoni mdogo
Hasikii vizuri
Kichwa hupiga keleke
Huhisi ganzi miguuni/mikononi
Hutembea kwa kuyumba kiasi
Yaani ni km dalili zako zote
Alipewa tu dawa ila viuvimbe/brain tumor ni vidogodogo yaani vipimo vya milimita hivyo haviwezi kuondolewa kwa upasuaji .......ni tatizo tu la kawaida huu mwaka wa 10+
Kizunguzungu hapana ni ile kukosa tu balance ya mwendo mfano uniambie nitembee huku natazama nyuma au naangalia juu yaani utadhani kidogo nimeonja kinywaji yaani natembea zigzag.
Thanks inadvance brother kwa ushauri wako I hope whenever I get to dar I will do so coz what I'm all after is only recovery and whenever I'll get recovered I'll come to reveal it here so as to help others who still suffers from the same problem as i do although its not as simple as I hope.Mkuu pole sana!
Tatizo kama hili lilimpata mdogo wangu na tulihangaika sana lkn ikaja gundulika baadae na matibabu yake ni simple mno!
Nadhani tatizo lako ni chemical imbalances,nenda LAB wakupime so called blood biometric.
Wataalam wapine madini yote mwilini mwako na blood plasmas
Sisi dogo walikuta kakosa madini Magnesium na Dr akasema ukosefu wa madini wengine huwafanya hadi wawe mental unstable!
Pole sana na please kapime blood biometric nina imani watagundua una ukosefu wa madini fulani,ukianza matibabu unapona completely
Hapana haina maana km sina imani na ma Dr,no ila at least wangenifanyia walau uchunguzi wa kina may through MRI ya kichwa ili wajiridhishe tatizo linalo nisumbua nadhani wangepata pa kuanzia kunitibu.But all in all my hopes still lie on them next after God.Pole sana mkuu!
But unapokwenda hospital jaribu kurudisha imani kwa hawa dr zetu kuna kitu kma umepoteza imani kbisa kwa hawa madr!inasaidia kidgo
stupid!Pole sana ndugu.
Kwa Yesu kuna uponyaji wa kweli wanaposhindwa madakitari wa elimu dunia YESU hashindwi
Nakuomba uje ktk ibada upokee uponyaji wako utaombewa na utapona.
Kama upo Dar nijurishe pm ili nikuelekeze pahali pa kufanyiwa maombi upone.
Shukrani sana.Pole sana,Mungu akupe ahueni
Yeah nashukuru,nitaendelea na mapambano mpaka itakapofika pointi nikapata matokeo mazuri au itakapothibitika kuwa siwezi kupona tena hapo ndipo nitakapo stop.Pole sana mkuu,endelea kutafuta ufumbuzi wa kitabibu lakini pia usiache kumshirikisha Mungu ili akuongoze wapi utapokea uponyaji wako...
Asante nitajitahidi ila hujaniambia ni specialist wa nn?Nenda rabininsia Muulizie Dr Aris. .... yupo vzr sana japo mzee
Sent from my SM-J120FN using JamiiForums mobile app
Very nice and thank you.Umesema kuwa unahisi mishipa ya fahamu. .. huyo ndo mtaalamu
InshaAllah.Pole xn Mwenyezi Mungu atakujaalia utapona