Hapana,hilo ni tatizo la canals za masikioniDaaah .
Daaah Mimi napepesuka tuuh ata nisipo fumba macho yani nikiwa natembea tuuh kawaida nakoswa balance.
Sasa Kuna jamaa mmoja ananitisha Apa ananiambia labda uvimbe kwenye ubongo duuuh
Daaah.Hapana,hilo ni tatizo la canals za masikioni
Moja ina pressure zaidi ya lingine
Nenda hospitalini utapona
Huuu ushauri ungempa tangu mwaka jana mwezi wa pili nadhani sasa hivi angekuwa ashaponaNenda International Eyes Centre, iko Morocco karibu kabisa na Hallotel HQ, kama huna bima kumwona dr ni 60,000 na iko valid kwa siku 14 kama utatakiwa kurudi rudi kwa uchunguzi zaidi. Bei ya dawa zao pia imechangamka lakini waweza zitafuta popote kama hutaridhika.
Point hapa ni kupata proper consultation kwa watu waliobobea, kama tatizo si macho utaambiwa ili nguvu uweke sehemu husika
Mkuu wanafanya surgery hapo?Pole sana. ... upande wa macho jaribu kuwaona Dr Agarwal's Eye Hospital Morocco nyuma ya jengo la airtel japo ni gharama kidogo
Hawa wanatumia bima ya NHIF?Nenda International Eyes Centre, iko Morocco karibu kabisa na Hallotel HQ, kama huna bima kumwona dr ni 60,000 na iko valid kwa siku 14 kama utatakiwa kurudi rudi kwa uchunguzi zaidi. Bei ya dawa zao pia imechangamka lakini waweza zitafuta popote kama hutaridhika.
Point hapa ni kupata proper consultation kwa watu waliobobea, kama tatizo si macho utaambiwa ili nguvu uweke sehemu husika
Dah mkuu maelezo yako yanatia matumaini sana japokuwa wengine tumeshaanza kuzizoea hali hizi.Wanachukua damu wanaona kila kitu
kama hujazaliwa kiziwi na sasa una shida ya kusikia mara nyingi huwa hormane imbalances tu
Issue inakuwa ngumu kama ulizaliwa kiziwi
Mi nimeshaenda hapo International eye hodpital ni kweli jamaa wana vifaa vya kisasa na huduma nzuri sana but nashindwa kuelewa sie wengine haya matatizo km hayaeleweki sijui.Nenda International Eyes Centre, iko Morocco karibu kabisa na Hallotel HQ, kama huna bima kumwona dr ni 60,000 na iko valid kwa siku 14 kama utatakiwa kurudi rudi kwa uchunguzi zaidi. Bei ya dawa zao pia imechangamka lakini waweza zitafuta popote kama hutaridhika.
Point hapa ni kupata proper consultation kwa watu waliobobea, kama tatizo si macho utaambiwa ili nguvu uweke sehemu husika
Wanatumia ndio mkuu,km unayo we nenda tu utahudumiwa kama mfalme wako vizuri hamna yale mambo sijui fumba jicho la kulia usome pale.Hawa wanatumia bima ya NHIF?
Mi nilifanyiwa MRI ya kichwa mwaka jana aiseeeeeh ilibaki kidogo nizimie ndani ya lile limashine dah.Nilipewa rufaa mwaka 2010 kuja kupiga CT SCAN toka mtwara kuja Muhimbili.
Muhmbili wakakataa wakasema bado mdgo kupiga hko kipimo
Kwa ww km shida ni nguvu tu mkuu nakushauri tumia Neuro support kwa muda wa miezi 3 mfululizo aisee utarejesha nguvu ya mwili mm ilifika kipindi nilikuwa sina nguvu kabisa but nilitumia kwa muda km huo kiukweli niliona mabadiliko makubwa sana.Dozi ya mwezi ni vidonge 30 ambayo ni 15,000Ndio ndio mkuu mimi kabisa aisee....hata nikijifuta jasho ile kupitisha kitambaa usoni ni shida.
Miguu kama unailazmisha halafu haina nguvu kabisa.
HatutofautianiNimerudi wakuj,
Vp nawe una uono hafifu na usikivu mdogo mkuu km mm?
Dah mi hadi nilishaizoe hali hii yaani mtu akinipigia simu namwambia nipo kwenye kelele tuma msg au km vp nitafute usiku pakiwa pametulia.
Maana nilikuwa najipa stress ss nimeshazoea na ninaongea na watu wanaonielewa hali yangu wale wenzangu na mm wanaokereka ukiwa unaitikaitika kutokana na kutomsikia vizuri na wkt umeshamwambia una tatizo flani huwa sipendi hata kuwa nao karibu.
Maisha lazima yaendelee as long bado tunapumua.
Dah aisee bora tufahamiane walau tusijione wapweke au tuliosahaulika na Mola.Hatutofautiani
Dah aisee bora tufahamiane walau tusijione wapweke au tuliosahaulika na Mola.
Ipo siku tutarejea kwenye hali zetu za mwanzo naamini
Mi shida yangu Ni kupepesuka , sikio pamoja na kuishiwa nguvu pia miguuni. Vipi hivi vidonge doz yake unatumiajeKwa ww km shida ni nguvu tu mkuu nakushauri tumia Neuro support kwa muda wa miezi 3 mfululizo aisee utarejesha nguvu ya mwili mm ilifika kipindi nilikuwa sina nguvu kabisa but nilitumia kwa muda km huo kiukweli niliona mabadiliko makubwa sana.Dozi ya mwezi ni vidonge 30 ambayo ni 15,000
Umenena vyema mkuuNashauri pia liundwe group la WhatsApp kwa ajili ya kufanya followup.
Kwa ww km shida ni nguvu tu mkuu nakushauri tumia Neuro support kwa muda wa miezi 3 mfululizo aisee utarejesha nguvu ya mwili mm ilifika kipindi nilikuwa sina nguvu kabisa but nilitumia kwa muda km huo kiukweli niliona mabadiliko makubwa sana.Dozi ya mwezi ni vidonge 30 ambayo ni 15,000
Mkuu kama hukuwa kiziwi wkt unazaliwa huwezi ukawa kiziwi ukiwa mkubwaDah mkuu maelezo yako yanatia matumaini sana japokuwa wengine tumeshaanza kuzizoea hali hizi.