Msaada: Nina tatizo la kupumua haraka haraka, nifanyeje?

Huko ulipo hakuna hospitali? Nenda ukapimwe presha, kifua kikuu pamoja na Pumu.. Huenda ukawa na matatizo ya mapafu...
 
Ikiwa shida yako ya kupumua inaambatana na homa huwenda ukawa na pneumonia.Ila ikiwa hiyo hali inaendana na kichwa kuuma na uzito wako wa mwili ni mkumbwa huwenda ukawa na heart failure.Ushauri wngu nenda hospital kapime presha na jitahidi kufanya mazoezi ya aerobic exercise kamba kukimbia na kuounguza uzito kama uzito wko ni mkumbwa
 
Asante kwa ushauri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…