kunalkunal951
Member
- Sep 17, 2016
- 89
- 12
Mimi na tatizo la kupumua haraka haraka alafu kama natoa sauti yaani kama mtu amekaa karibu yangu anaskia kero.
Tatizo ni nini hasaaa?
Tatizo ni nini hasaaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ushauri wakoHuko ulipo hakuna hospitali? Nenda ukapimwe presha, kifua kikuu pamoja na Pumu.. Huenda ukawa na matatizo ya mapafu...
Asanteiko ni kifua cha ASMA
Sindano ya mshipa kivipi?WEWE UNA ASMA/PUMU NENDA HOSPITAL UKACHOMWE SINDANO YA MSHIPA
Majirani na mke wanguunampumulia nani?
Asante kwa ushauri wakoIkiwa shida yako ya kupumua inaambatana na homa huwenda ukawa na pneumonia.Ila ikiwa hiyo hali inaendana na kichwa kuuma na uzito wako wa mwili ni mkumbwa huwenda ukawa na heart failure.Ushauri wngu nenda hospital kapime presha na jitahidi kufanya mazoezi ya aerobic exercise kamba kukimbia na kuounguza uzito kama uzito wko ni mkumbwa