Msaada: Nina tatizo la kutoa manii (ku-ejaculate) kila nipatwapo na hofu

Msaada: Nina tatizo la kutoa manii (ku-ejaculate) kila nipatwapo na hofu

Wasalaam wanabodi!!!

Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, ndugu yenu nina tatizo la kujipizia hasa nikiwa na hofu kubwa. Hii hali ilinianza nikiwa kidato cha nne.

Nakumbuka nilikua nafanya mtihani muda ukaisha, mwalimu akaja kukusanya mitihani na jinsi mtihani ulivyokuwa mgumu halafu sijamaliza kwa hofu niliyokuwa nayo nikajikuta najipizia nikiwa nimkaa kwenye kiti.

Tangu kipind kile nilijitahidi sana hali hiyo isinitokee tena, bahati nzuri niliweza kujizuia but hali ilkuja tena kujirudia nikiwa form five lakini nilijitahidi sana siku hiyo sikupizi pia nilikuwa kwenye mtihani.

Sasa kinachonipa shida ni kuwa kwa sasa nikiwa nimelala nikiota ndoto mbaya lazima nijipizie(ni-ejaculate) na hii inanitokea mara kwa mara kwa wiki inaweza tokea hata mara 3.

Kwa kifupi ni kuwa sijawahi kupiga punyeto so sijui hata inavofanywa, pia sijawahi kufanya mapenzi na msichana hata mara moja, umri wangu ni miaka 22 kwa sasa.

Hapa najiuliza je hili tatizo ni kutokana na kutokufanya mapenzi ndio maana kitu kama hiki kinanitokea au ni psychological problem!??

Msaada ndugu zangu sina amani kabisa najihisi kama siko sawa kabsa!!!
kuna mambo hapa duniani, kwenye paper mtu ngoma inasimama na unapizi duu!! kudadeki mi nachoona mwana jitahid upate mtoto uwe unapiga kila siku utupe mrejesho.
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] shukrani sana kwa kuleta Hill swali, sababu hii hali ilishanitokea nikiwa kwenye mitihani pia. Ila nilijipa majibu kuwa sababu ni.
1) muda wa mitihani kuisha halafu, najikuta maswali mengi nayajua.
2) kuwa na shauku ya kufanya maswali yote kwa wakati mmoja hasa unapoona maswali unayoyajua (unababaika)
NAMNA YA KUZUIA
1) Jifunze kupangilia muda kuendana na aina za maswali.
2) Chagua maswali unayoyajua kwa kila swali pangilia dondoo kwa penseli nyuma ya karatasi ya majibu (tumia dk 10 kumaliza kupanga)
3) Chagua uanze na swali lipi. Kisha baada ya kumaliza mtihani cancel zile dondoo kwa penseli kwa ruler kuanzia mwanzo /juu hadi chini kwenye kurasa husika ya dondoo.
Kwan kasema Ana tatzo LA technique za kufanya mtihani?
 
Nimesomaa mwanzo wa Uzi huu toka mwanzo na wachangiaji wake woootee sijaweza kuambulia kituu inawezekanaje ukapizi ukiwa katika mtihan icho kizaga kinasimama au vinatoka Kama usahaa tuu? Nyie vijana wa dot com inakuwajee asee me ndo nasoma Leo kitu Kama hiii au ni hizii chips fungaaa?
omba isikutokee... yaan hata mimi yamenikuta hayo ona..:
1. nilikuwa kwenye pepa ya biology halaf nikajikuta pepa nzima najua swali moja tu halaf hilo moja lenyewe points zikapotea na muda unatembea kinoma.. aisee niliachia kitu!

2. nilikuwa kwenye pepa ya maths necta form 6 .. yaan nilifanya maswali kwa kuremba remba kumbe muda unasepa.. nakuja kushtukia hata yale niliyofanya nimekosea halaf kunatangazwa "10 minutes left" halaf maswali mengi sijafanya.. niliachia mzee.. huwez kuzuia ile ngoma!!!!
 
tena hofu ikikujia halaf ukajichanganya ujikune tu... kwisha habari yako!!!!
 
kawaida mambo haya hutokea ila kwa watu wachache...kila mtu ana jinsi yake mwenyewe ambavyo mwili wake hureact awapo kwenye hofu..ila mkuu ni vyema upate ushauri lisije likawa jambo la kuaibisha katika siku za halafu..
 
mkuu tank limejaa umri huo hujawahi onja papuchi na unakula na kushiba.sasa hivo vitu vinajitengeneza kila muda unafiri vinatoka vp??
 
Back
Top Bottom