Msaada: Nina tatizo la kutoa manii (ku-ejaculate) kila nipatwapo na hofu

kuna mambo hapa duniani, kwenye paper mtu ngoma inasimama na unapizi duu!! kudadeki mi nachoona mwana jitahid upate mtoto uwe unapiga kila siku utupe mrejesho.
 
Kwan kasema Ana tatzo LA technique za kufanya mtihani?
 
omba isikutokee... yaan hata mimi yamenikuta hayo ona..:
1. nilikuwa kwenye pepa ya biology halaf nikajikuta pepa nzima najua swali moja tu halaf hilo moja lenyewe points zikapotea na muda unatembea kinoma.. aisee niliachia kitu!

2. nilikuwa kwenye pepa ya maths necta form 6 .. yaan nilifanya maswali kwa kuremba remba kumbe muda unasepa.. nakuja kushtukia hata yale niliyofanya nimekosea halaf kunatangazwa "10 minutes left" halaf maswali mengi sijafanya.. niliachia mzee.. huwez kuzuia ile ngoma!!!!
 
tena hofu ikikujia halaf ukajichanganya ujikune tu... kwisha habari yako!!!!
 
kawaida mambo haya hutokea ila kwa watu wachache...kila mtu ana jinsi yake mwenyewe ambavyo mwili wake hureact awapo kwenye hofu..ila mkuu ni vyema upate ushauri lisije likawa jambo la kuaibisha katika siku za halafu..
 
mkuu tank limejaa umri huo hujawahi onja papuchi na unakula na kushiba.sasa hivo vitu vinajitengeneza kila muda unafiri vinatoka vp??
 
Swali la kizushi mkuu.. huko kupizi kuna kua kumeambatana na climax au ni out of the blue tuuu unashangaa pwaaaaah?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ unapiga kitu tamu balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…