Msaada, nina tatizo la kutokwa na vidonda pua moja ya kushoto

tembocard

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
247
Reaction score
121
Habari zenu wapendwa, naombeni ushauri wenu nina tatzo la kutokewa na vidonda pua moja ya kushoto kinauma sana kinanitokea Mara kwa Mara kikipona nakaa kidogo kama mwezi au miezi 2 kinatokea ndani ya pua kunakuwa kumejaa vindonda alafu ni hii pua moja tu ya kushoto hii nyingine haijawahi. naombeni ushauri wenu nitumie Dawa gani
 
KABLA YA KUTUMIA DAWA NENDA HOSPITALI KWANZA UKACHUNGUZWE
 
Kata hiyo pua uunge wajihi...!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜Ž
 
una allergy na kitu fln hapo......kuna kundi la dawa linaitwa ant allergies.....zipo nying lkn hutakiwi kutumia kuonana na daktar ndo atajua ipi itakufaa kutokana na atakavokuangali......
 
una allergy na kitu fln hapo......kuna kundi la dawa linaitwa ant allergies.....zipo nying lkn hutakiwi kutumia kuonana na daktar ndo atajua ipi itakufaa kutokana na atakavokuangali......
Asante
 
Pole sana na nakuomba uwahi haraka kwa Daktari ila ukishapona tu acha kabisa tabia ya Kupenda Kunusanusa Chupi ya Mkeo / Mumeo hilo tatizo litakuwa historia Kwako.
 
Pole sana na nakuomba uwahi haraka kwa Daktari ila ukishapona tu acha kabisa tabia ya Kupenda Kunusanusa Chupi ya Mkeo / Mumeo hilo tatizo litakuwa historia Kwako.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…