Habari zenu wapendwa, naombeni ushauri wenu nina tatzo la kutokewa na vidonda pua moja ya kushoto kinauma sana kinanitokea Mara kwa Mara kikipona nakaa kidogo kama mwezi au miezi 2 kinatokea ndani ya pua kunakuwa kumejaa vindonda alafu ni hii pua moja tu ya kushoto hii nyingine haijawahi. naombeni ushauri wenu nitumie Dawa gani