Msaada:nina tatizo la kuumwa na ngozi ya nywele za kichwa

Msaada:nina tatizo la kuumwa na ngozi ya nywele za kichwa

Harhombo

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
216
Reaction score
57
Habari wana jf.Nina tatizo lilodumu kwa mwezi sasa,mwezi uliopita nilitokwa na damu puani kwa siku tatu mfululizo mpaka nikalazwa hospitali ya wilaya,baadae nikapona kabisa na damu haikutoka tena mpaka leo ila ninahisi maumivu kwenye ngozi ya kichwa na sifahamu tatizo nini!Naombeni msaada hili ni tatizo gani?
 
Back
Top Bottom