kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Habari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikisumbuliwa na ugonjwa wa kuyumbayumba kama mlevi japo situmie kilevi chochote nikitembea nayumbayumba nakosa balance.
Sijawahi kutumia kilevi chochote hali hii imenianza mwaka 2009 nilivyokuwa naumwa tumbo ambalo lilikuwa likinisababisha niende chooni kila ni kila chakula hata maji naenda kuharisha.
Nilipopona nikapata tatizo la kuyumba linanisumbua mpaka leo nimeenda hospital mbalimbali wanasema siumwi kitu.