Msaada: Nina tatizo la kuyumbayumba kama mlevi na situmi kilevi

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,746
Reaction score
2,924
Habari zenu ndugu zangu,

Nimekuwa nikisumbuliwa na ugonjwa wa kuyumbayumba kama mlevi japo situmie kilevi chochote nikitembea nayumbayumba nakosa balance.

Sijawahi kutumia kilevi chochote hali hii imenianza mwaka 2009 nilivyokuwa naumwa tumbo ambalo lilikuwa likinisababisha niende chooni kila ni kila chakula hata maji naenda kuharisha.

Nilipopona nikapata tatizo la kuyumba linanisumbua mpaka leo nimeenda hospital mbalimbali wanasema siumwi kitu.
 
Kuna kipindi kinaitwa 'diagnose me' ambacho ni cha watu wenye magonjwa adimu na jinsi walivyotibiwa.

Kesi kama hii imewahi kuonyeshwa na huyo mtu aliambiwa kuwa tatizo lake ni excessive yeast. kiwango cha amira kwenye utumbo wake kilikuwa asilimia mis nne zaidi.

Waweza kufuatilia hiyo kesi uone kama kweli inafanana na yako kwenye youtube kwa episodes za diagnose me: drunk without drinking.au ugoogle drunk without drinking columbus man's medical mystery.

Kama kweli ndo kesi ya ugonjwa wako hiyo waweza pia nawe kwenda kupimwa kiwango cha yeast mwilini mwako.....kama inawezekana tanzania....ili uwe na uhakika.
 
Unakula mlenda sana labda.

Si lazima kuchangia kama huna la maana kuchangia. Kuleta mzaha wakati mwenzio anataka ushauri wa tatizo si uungwana. Hujafa hujaumbika, hapa duniani, leo kwake kesho kwako...
 
Kuna kipindi kinaitwa 'diagnose me' ambacho ni cha watu wenye magonjwa adimu na jinsi walivyotibiwa.

Kesi kama hii imewahi kuonyeshwa na huyo mtu aliambiwa kuwa tatizo lake ni excessive yeast. kiwango cha amira kwenye utumbo wake kilikuwa asilimia mis nne zaidi.

Waweza kufuatilia hiyo kesi uone kama kweli inafanana na yako kwenye youtube kwa episodes za diagnose me: drunk without drinking.au ugoogle drunk without drinking columbus man's medical mystery.

Kama kweli ndo kesi ya ugonjwa wako hiyo waweza pia nawe kwenda kupimwa kiwango cha yeast mwilini mwako.....kama inawezekana tanzania....ili uwe na uhakika.

asante
 
Back
Top Bottom