Kuna kipindi kinaitwa 'diagnose me' ambacho ni cha watu wenye magonjwa adimu na jinsi walivyotibiwa.
Kesi kama hii imewahi kuonyeshwa na huyo mtu aliambiwa kuwa tatizo lake ni excessive yeast. kiwango cha amira kwenye utumbo wake kilikuwa asilimia mis nne zaidi.
Waweza kufuatilia hiyo kesi uone kama kweli inafanana na yako kwenye youtube kwa episodes za diagnose me: drunk without drinking.au ugoogle drunk without drinking columbus man's medical mystery.
Kama kweli ndo kesi ya ugonjwa wako hiyo waweza pia nawe kwenda kupimwa kiwango cha yeast mwilini mwako.....kama inawezekana tanzania....ili uwe na uhakika.