Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa kabla hujaja hapa kueleza matatizo yako ungelifanya jambo bora kwenda Hospitali kuwaona Ma-Daktari unavyotueleza na picha hujaweka tutashindwa namna gani ya kukwambia utumie dawa gani? Jaribu kumuona Daktari ili akuandikie dawa utumie ikishindikana uje tena hapa tutakuambia ni nini cha kufanya asante.Nina tatizo la skin wart usoni na shingoni *kiswahili chake sikijui ugonjwa huu* na hili tatizo nimelipata baada ya kujifungua.
Je ni dawa gani naweza kutumia ili kuondokana na tatizo hili?
Natanguliza shukrani kwenu