Msaada Nina tatizo la skin wart usoni na shingoni

Msaada Nina tatizo la skin wart usoni na shingoni

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
Nina tatizo la skin wart usoni na shingoni *kiswahili chake sikijui ugonjwa huu* na hili tatizo nimelipata baada ya kujifungua.

Je ni dawa gani naweza kutumia ili kuondokana na tatizo hili?
Natanguliza shukrani kwenu
 
Ulikuwa kabla hujaja hapa kueleza matatizo yako ungelifanya jambo bora kwenda Hospitali kuwaona Ma-Daktari unavyotueleza na picha hujaweka tutashindwa namna gani ya kukwambia utumie dawa gani? Jaribu kumuona Daktari ili akuandikie dawa utumie ikishindikana uje tena hapa tutakuambia ni nini cha kufanya asante.
 
Back
Top Bottom