Ulikuwa kabla hujaja hapa kueleza matatizo yako ungelifanya jambo bora kwenda Hospitali kuwaona Ma-Daktari unavyotueleza na picha hujaweka tutashindwa namna gani ya kukwambia utumie dawa gani? Jaribu kumuona Daktari ili akuandikie dawa utumie ikishindikana uje tena hapa tutakuambia ni nini cha kufanya asante.