Msaada: Nina upepo tumboni (gesi) hautaki kuondoka

Cjakuelewa vizuri mkuu huyo Dr mbobezi namsikilizia wap?
Kwenye riopoti ya kipimo nimeona aliyehusika ktk uchunguzi ni Dr. Edwin na Dr Omar. Dhana yangu ni kuwa ulienda ENT Clinic Muhimbili ukakutana na Dr. Edwin. Ndo maana nimekushauri hivyo, namfahamu Dr. Edwin.
Pia inawezekana hukuwa mgonjwa wa Dr. Edwin bali yeye alihusika tu kwa namna nyingine.
 
Cjakuelewa vizuri mkuu huyo Dr mbobezi namsikilizia wap?
Sorry, ni watu wawili tofauti...Huyu namzungumzia ni Edwin Liyombo wa ENT. Aliwahi kunihudumia ktk tatizo la gastritis ingawa kabla halikuwahi julikana kwa madaktari wengi niliopitia kwao. Mpaka nilipoenda kwake kama tatizo la koo, na baada ya kunisaili kwa muda mrefu tulifanya endoscopy na kufahamika ni gastritis. Ila all in all kwangu ilikuwa ni mchakato wa kupata vidonda tumbo, lugha iliyotumika ni kuwa kuna michubuko ambayo inaweza kufanya vidonda vya tumbo.
 
Nyumbani una jiko la gesi?

! Kukamilisha swali lako ungemuuliza kama yeye ni mwenyeji wa Mtwara . Lakini nahisi tatizo alilonalo ni mfadhaiko au alerge . Kwa mfano mtu ukijawa na hofu anaweza kutoa mkojo bila kujitambua .
 
Sorry, ni watu wawili tofauti...Huyu namzungumzia ni Edwin Liyombo wa ENT. Aliwahi kunihudumia ktk tatizo la gastritis ingawa kabla halikuwahi julikana kwa madaktari wengi niliopitia kwao. Mpaka nilipoenda kwake kama tatizo la koo, na baada ya kunisaili kwa muda mrefu tulifanya endoscopy na kufahamika ni gastritis. Ila all in all kwangu ilikuwa ni mchakato wa kupata vidonda tumbo, lugha iliyotumika ni kuwa kuna michubuko ambayo inaweza kufanya vidonda vya tumbo.
Asante mkuu nmekuelewa nashukur
 
Back
Top Bottom