griffin griffith
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 549
- 442
[emoji33] [emoji15] [emoji15]Pole sana Mkuu mi naona hapo njia nzuri kazana tu kujamba ndio njia salama ya kupunguza gesi.
Umewahi tumia mmea wa ndulele pia?Asante mkuu. Katika dawa za asili nmetumia mimea aina nyingi ikiwa n mmojammoja na pia iliyochanganywa zaidi ya mmoja pamoja
Kwenye riopoti ya kipimo nimeona aliyehusika ktk uchunguzi ni Dr. Edwin na Dr Omar. Dhana yangu ni kuwa ulienda ENT Clinic Muhimbili ukakutana na Dr. Edwin. Ndo maana nimekushauri hivyo, namfahamu Dr. Edwin.Cjakuelewa vizuri mkuu huyo Dr mbobezi namsikilizia wap?
Sorry, ni watu wawili tofauti...Huyu namzungumzia ni Edwin Liyombo wa ENT. Aliwahi kunihudumia ktk tatizo la gastritis ingawa kabla halikuwahi julikana kwa madaktari wengi niliopitia kwao. Mpaka nilipoenda kwake kama tatizo la koo, na baada ya kunisaili kwa muda mrefu tulifanya endoscopy na kufahamika ni gastritis. Ila all in all kwangu ilikuwa ni mchakato wa kupata vidonda tumbo, lugha iliyotumika ni kuwa kuna michubuko ambayo inaweza kufanya vidonda vya tumbo.Cjakuelewa vizuri mkuu huyo Dr mbobezi namsikilizia wap?
Nyumbani una jiko la gesi?
Asante mkuu nmekuelewa nashukurSorry, ni watu wawili tofauti...Huyu namzungumzia ni Edwin Liyombo wa ENT. Aliwahi kunihudumia ktk tatizo la gastritis ingawa kabla halikuwahi julikana kwa madaktari wengi niliopitia kwao. Mpaka nilipoenda kwake kama tatizo la koo, na baada ya kunisaili kwa muda mrefu tulifanya endoscopy na kufahamika ni gastritis. Ila all in all kwangu ilikuwa ni mchakato wa kupata vidonda tumbo, lugha iliyotumika ni kuwa kuna michubuko ambayo inaweza kufanya vidonda vya tumbo.
Dr. Edwin Masue (aliyehusika ktk report yako) ni specialist wa tatizo lako Dr Edwin Masue • Gastroenterologist • Dar Es Salaam, Dar Es Salaam upo kwenye mikono salama.Asante mkuu nmekuelewa nashukur
Hiyo sio Bawasiri ingelikuwa ni bawasiri ingeonekana kwa vipimo vya huko hospitali hayo ni maradhi ya elimu ya Giza Hayafai kuzungumza hapa.Mkuu hio itakua ni buasiri ikiambatana na kutwa kwa michango ya tumbo