Msaada: Nina vipele kwenye nyeti zangu

Msaada: Nina vipele kwenye nyeti zangu

Huyo mwanamke anamatatizo si ww pekee unaachubuka wakati wakusex na hatukumbani na matatizo km hayo na tatizo haliko kwako tatizo liko kwa huyo demu mchukue nenda nae hospital ukijua tatizo lake rahisi kupata tiba ww maana hata ukipona utakua hujatatua tatizo au achana nae kabisaaa
 
Back
Top Bottom