Msaada: Ninafika kileleni ndani ya dakika 1

Msaada: Ninafika kileleni ndani ya dakika 1

kwahiyo wewe tatizo la mwenzio ni furaha kwako?siku ukipatwa tatzo mtu akakucheka utajisikiaje?fikiria dada


We wa wapi? aliyekwambia kucheka ni kufurahi nani? nimecheka jinsi mchakato mzima wa kuzuia kumwaga utakavyofanyika, sijafurahi huyo mkaka kuwa na tatizo hilo
 
Jaman kuna dawa na tiba zipo zimetokaana na mimea asilia,matunda na mazao ya baharin zinatibu tatizzo la nguvu ZA. Kiume KUWAI kufika kileleni kuchoka haraka kukosa hamu ya tendo la ndoa na uume kusinyaa zinapatikana bei nafuu 0717556768
 
Kunywa kiloba cha konyagi kabla ya mechi mkuu... Yani hapo utaiga hata saa zima ukojoi... Konyagi ni dawa tosha usitumie garama kuuuuuuuuuuubwa wakati 1500 tu itakurudisha kwenye ramani
 
Nyie hamumupend mwenzenu ysn ndo kwanza mnamkandamiza konyagi c nzuri kiafya ndo kwanza inazid kuharibu
 
kuna dawa flan hv kama mzizi huwa inauzwa sana na wamasai... nilikua naidharau sana najua biashara tu.. siku mmoja nikamkuta rafiki angu anatafuna nami nikstest isee ile kitu nouma tena aliniambia vzur itafune ukiwa na njaa au asubuh kabla ya chai...
 
Kama ni chini ya dakika moja siyo kilele Kaka. Tafuta jina ingine. Yaani kusema ukweli unahitaji msaada wa haraka maana we Mgonjwa kabisa.
 
Wakuu poleni na majukumu!

Sina tatizo la uume kusimama (erection) kwani unasimama tena ngangari kweli kweli!

Tatizo langu ni kuwahi kufika kileleni yaani ndani ya dakika 1 na nusu tayari kwisha habari yangu baada ya dakika kama 10.

Unasimama tena lakini ndani ya dakika kama hizo tayari nimemwaga huku nikimwacha mke wangu anaugulia.

Je wataalamu nitumia mizizi ama dawa gani ili kunusuru ndoa yangu?

Natanguliza shukrani kwenu wataalamu.

Mkuu, ukiona Wareno wanataka kuja hamisha hisia zako zote kwenye jambo lolote ambalo limewahi kukuudhi au kukusumbua Kabila.Ukifanya hivyo Wareno watageuza walikotoka na wewe utaendelea kula papuchi kwa raha zako. Niliitumia miaka mingi iliyopita na iliniletea mafanikio mkubwa.
 
Usijaribu kutumiaaa hayo mambo ya miti shamba sijui,, sijui dawa za asili.. Mkuuu utapotea kwenye ramani... Madoc wanakujaaaa lakini usijaribu ya miti shambaaa not goood
 
Nynyi mnaleta jokes wakat watu wanaitaji kuondoka na hayo majanga we kelvin iv ujatambua kuwa dunia imegeuka alafu ucipende kuukumu kitu ambacho huna uhakika nacho hata mungu hapendi
 
Hakuna mtu ambaae aanataka kumuangamiza mwenzake kama yupo basi huyo hafai kabisa
 
kuna dawa flan hv kama mzizi huwa inauzwa sana na wamasai... nilikua naidharau sana najua biashara tu.. siku mmoja nikamkuta rafiki angu anatafuna nami nikstest isee ile kitu nouma tena aliniambia vzur itafune ukiwa na njaa au asubuh kabla ya chai...

Sio mkongoraa kweliii
 
Kiukwel hili tatizo hata mm ninalo...naweza mwaga hata mara 8 kwa usiku mmoja but bao la 6 ndo nachukua muda mrefu...embu nisaidie nile nn cha asil coz sina tatizo la kusimama
 
Du! kumbe ni kazi kwel kwel! sipati picha wakati wa shughuli ndani ya sekunde 60 jamaa anaanza kujivuta korodani mara ajibonyeze karibu na matako.... yaani full pilika... ha ha ha haaa nimecheka tena leo

Haaaa.haaa...weee jamaaaa weweees..mbafuuu saangu..
 
Back
Top Bottom