mutashambala
Member
- May 1, 2013
- 40
- 3
kwahiyo wewe tatizo la mwenzio ni furaha kwako?siku ukipatwa tatzo mtu akakucheka utajisikiaje?fikiria dada
jifunze kubana pumzi wakati unapoelekea kumwaga
pia kuna dawa ya vidonge vinne tu na unakunywa mara moja tu kwa maisha yote itakusaidia fanya uni PM
Mkuu kuhusu KUWAHI KUFIKA KILELENI
Wakuu poleni na majukumu!
Sina tatizo la uume kusimama (erection) kwani unasimama tena ngangari kweli kweli!
Tatizo langu ni kuwahi kufika kileleni yaani ndani ya dakika 1 na nusu tayari kwisha habari yangu baada ya dakika kama 10.
Unasimama tena lakini ndani ya dakika kama hizo tayari nimemwaga huku nikimwacha mke wangu anaugulia.
Je wataalamu nitumia mizizi ama dawa gani ili kunusuru ndoa yangu?
Natanguliza shukrani kwenu wataalamu.
kuna dawa flan hv kama mzizi huwa inauzwa sana na wamasai... nilikua naidharau sana najua biashara tu.. siku mmoja nikamkuta rafiki angu anatafuna nami nikstest isee ile kitu nouma tena aliniambia vzur itafune ukiwa na njaa au asubuh kabla ya chai...
Du! kumbe ni kazi kwel kwel! sipati picha wakati wa shughuli ndani ya sekunde 60 jamaa anaanza kujivuta korodani mara ajibonyeze karibu na matako.... yaani full pilika... ha ha ha haaa nimecheka tena leo