Msaada: Ninampango wa kuagiza gari Japani, nililolipenda halina antilock brake system (abs).

Baringongo

Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
97
Reaction score
90
Wakuu habari za majukumu.
Mpango wangu ni kuagiza Gari used kutoka Japan. Nimepitia website ya kampuni ninayotaka kuitumia lakini Gari nililolipenda halina ABS.
Ninaomba kufahamishwa kama inaumuhimu sana katika Gari, pia kama kuna uwezekano wa kuweka hiyo system hapo bongo.
 
Watumie BEFORWARD watakusaida kuanga "mechanical report" ya hilo gari kabla ya kukupa "Okay" ya kulipia. Usichague na kufanya maamuzi mwenyewe bila kupata "mechanical report"
 
Kama gari sio automatic. Haina kazi, kama ni automatic agiza mfundi wakuwekea. Maana ABS inacontroliwa na kitu kiitwacho ECU, ECM(ELECTRONIC CONTROL UNIT)usaidia kupunguza speed YA engine unapo kanyaga pedel YA blake na kubalance maguludumu yote kushika Blake kwa usawa ili gari ISI sote upande mmoja na kumrahisishia dereva kukatakona pindi anapokuwa amekanyaga Blake ilikuweza kukwepa ajali. Nk
 
bonge ya jibu
 
Asante kwa Ushauri mkuu.
Before sijaagiza lazima nitafanya kama ulivoshauri
 
Haya mambo mi mgeni ngoja watalaam waje soon
 
Kama gari sio automatic. Haina kazi, kama ni automatic agiza mfundi wakuwekea. Maana ABS inacontroliwa na kitu kiitwacho ECU, ECM(ELECTRONIC CONTROL UNIT)usaidia kupunguza speed YA engine unapo kanyaga pedel YA blake na kubalance maguludumu yote kushika Blake kwa usawa ili gari ISI sote upande mmoja na kumrahisishia dereva kukatakona pindi anapokuwa amekanyaga Blake ilikuweza kukwepa ajali. Nk
Asante mtaalam. Approximation kwa uzoefu wako inaweza kugharimu kiasi Gan.
 
Hyo ABS unaweza iweka kwenye baisikeli..nataka namm niiboreshe basikeli yangu
 
Hivi unawezaje kukadiria kwa usahihi toka webiste eg ya be forward garama utakayolipia kwa gari uliochagua mpaka uipate.
 
Ndio unaweza kukadiria. Unaangalia gharama za CIF na unachukua hizo specifications za gari na kuangalia katika website ya TRA kuangalia gharama za importation.
 
Kama gari sio automatic. Haina kazi, kama ni automatic agiza mfundi wakuwekea. Maana ABS inacontroliwa na kitu kiitwacho ECU, ECM(ELECTRONIC CONTROL UNIT)usaidia kupunguza speed YA engine unapo kanyaga pedel YA blake na kubalance maguludumu yote kushika Blake kwa usawa ili gari ISI sote upande mmoja na kumrahisishia dereva kukatakona pindi anapokuwa amekanyaga Blake ilikuweza kukwepa ajali. Nk
Mkuu kwa maelezo yako vipi taa ya ABS ikiwa inawaka ina kuwa na hasara gani?
 
Taa ni ishara warning kuwa mfumo wa brake unatatizo kama vile blakefluid imesha. Hauwezi kupata kabisa Blake.. Kama blakefluid ikosawa na haivujishi kwenye system Haina shida Sana maana yake sensor kwenye maguludum zinatatizo so Blake utapata lakini utakosa wepesi wa kushika kwa blake(ufanisi wa automatiki) maana ndani YA ABS kuna pump inayo saidia kujunga presure katika mfumo ambayo uendeshwa na compyuta(ECU) hivyo leakeage (uvujaji wa blakefluid) ndo hatari
 
Kama gari sio automatic. Haina kazi, kama ni automatic agiza mfundi wakuwekea. Maana ABS inacontroliwa na kitu kiitwacho ECU, ECM(ELECTRONIC CONTROL UNIT)usaidia kupunguza speed YA engine unapo kanyaga pedel YA blake na kubalance maguludumu yote kushika Blake kwa usawa ili gari ISI sote upande mmoja na kumrahisishia dereva kukatakona pindi anapokuwa amekanyaga Blake ilikuweza kukwepa ajali. Nk
Mkuu nimetuma specifications tayari
 
Back
Top Bottom