Maarko
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,191
- 605
Taa ni ishara warning kuwa mfumo wa brake unatatizo kama vile blakefluid imesha. Hauwezi kupata kabisa Blake.. Kama blakefluid ikosawa na haivujishi kwenye system Haina shida Sana maana yake sensor kwenye maguludum zinatatizo so Blake utapata lakini utakosa wepesi wa kushika kwa blake(ufanisi wa automatiki) maana ndani YA ABS kuna pump inayo saidia kujunga presure katika mfumo ambayo uendeshwa na compyuta(ECU) hivyo leakeage (uvujaji wa blakefluid) ndo hatari
HONGERA SANA MKUU KWA ELINU NZURI UNAYOTOA,NAAMINI WENGI WAMEFAIDIKA NA ELIMU YAKO,JAPO KWENYE LUGHA YA KISWAHILI UNA SHINDWA KUTOFAUTISHA KATI YA R NA L.