Baringongo
Member
- Dec 12, 2016
- 97
- 90
Watumie BEFORWARD watakusaida kuanga "mechanical report" ya hilo gari kabla ya kukupa "Okay" ya kulipia. Usichague na kufanya maamuzi mwenyewe bila kupata "mechanical report"Wakuu habari za majukumu.
Mpango wangu ni kuagiza Gari used kutoka Japan. Nimepitia website ya kampuni ninayotaka kuitumia lakini Gari nililolipenda halina ABS.
Ninaomba kufahamishwa kama inaumuhimu sana katika Gari, pia kama kuna uwezekano wa kuweka hiyo system hapo bongo.
bonge ya jibuKama gari sio automatic. Haina kazi, kama ni automatic agiza mfundi wakuwekea. Maana ABS inacontroliwa na kitu kiitwacho ECU, ECM(ELECTRONIC CONTROL UNIT)usaidia kupunguza speed YA engine unapo kanyaga pedel YA blake na kubalance maguludumu yote kushika Blake kwa usawa ili gari ISI sote upande mmoja na kumrahisishia dereva kukatakona pindi anapokuwa amekanyaga Blake ilikuweza kukwepa ajali. Nk
Asante kwa Ushauri mkuu.Watumie BEFORWARD watakusaida kuanga "mechanical report" ya hilo gari kabla ya kukupa "Okay" ya kulipia. Usichague na kufanya maamuzi mwenyewe bila kupata "mechanical report"
Asante mtaalam. Approximation kwa uzoefu wako inaweza kugharimu kiasi Gan.Kama gari sio automatic. Haina kazi, kama ni automatic agiza mfundi wakuwekea. Maana ABS inacontroliwa na kitu kiitwacho ECU, ECM(ELECTRONIC CONTROL UNIT)usaidia kupunguza speed YA engine unapo kanyaga pedel YA blake na kubalance maguludumu yote kushika Blake kwa usawa ili gari ISI sote upande mmoja na kumrahisishia dereva kukatakona pindi anapokuwa amekanyaga Blake ilikuweza kukwepa ajali. Nk
Transmission: automaticLete specification za gari kwanza
Toyota D4D. Hiace. hilax?Transmission: automatic
Eng capacity: 1490 cc
Toyota
Toyota raum mkuuToyota D4D. Hiace. hilax?
Ukiongea nao wanakupa minimum amount unayotakiwa kuwa nayoHivi unawezaje kukadiria kwa usahihi toka webiste eg ya be forward garama utakayolipia kwa gari uliochagua mpaka uipate.
Hivi unawezaje kukadiria kwa usahihi toka webiste eg ya be forward garama utakayolipia kwa gari uliochagua mpaka uipate.
Mkuu kwa maelezo yako vipi taa ya ABS ikiwa inawaka ina kuwa na hasara gani?Kama gari sio automatic. Haina kazi, kama ni automatic agiza mfundi wakuwekea. Maana ABS inacontroliwa na kitu kiitwacho ECU, ECM(ELECTRONIC CONTROL UNIT)usaidia kupunguza speed YA engine unapo kanyaga pedel YA blake na kubalance maguludumu yote kushika Blake kwa usawa ili gari ISI sote upande mmoja na kumrahisishia dereva kukatakona pindi anapokuwa amekanyaga Blake ilikuweza kukwepa ajali. Nk
Taa ni ishara warning kuwa mfumo wa brake unatatizo kama vile blakefluid imesha. Hauwezi kupata kabisa Blake.. Kama blakefluid ikosawa na haivujishi kwenye system Haina shida Sana maana yake sensor kwenye maguludum zinatatizo so Blake utapata lakini utakosa wepesi wa kushika kwa blake(ufanisi wa automatiki) maana ndani YA ABS kuna pump inayo saidia kujunga presure katika mfumo ambayo uendeshwa na compyuta(ECU) hivyo leakeage (uvujaji wa blakefluid) ndo hatariMkuu kwa maelezo yako vipi taa ya ABS ikiwa inawaka ina kuwa na hasara gani?
Mkuu nimetuma specifications tayariKama gari sio automatic. Haina kazi, kama ni automatic agiza mfundi wakuwekea. Maana ABS inacontroliwa na kitu kiitwacho ECU, ECM(ELECTRONIC CONTROL UNIT)usaidia kupunguza speed YA engine unapo kanyaga pedel YA blake na kubalance maguludumu yote kushika Blake kwa usawa ili gari ISI sote upande mmoja na kumrahisishia dereva kukatakona pindi anapokuwa amekanyaga Blake ilikuweza kukwepa ajali. Nk