Mimi ni mtumishi wa umma na shida na hela kama milioni tano au sita. Naomba anayejua bank zenye makato ya nafuu isizidi laki moja na sabini kwa miaka sita aniambie ukiacha zile zilizozuiliwa kutoa mikopo kwa watumishi.