Msaada: Ninashida ya mkopo wa milioni 5 au 6

test man

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2016
Posts
1,014
Reaction score
955
Mimi ni mtumishi wa umma na shida na hela kama milioni tano au sita. Naomba anayejua bank zenye makato ya nafuu isizidi laki moja na sabini kwa miaka sita aniambie ukiacha zile zilizozuiliwa kutoa mikopo kwa watumishi.
 
Waone Nbc...pesa utapata
 
Back
Top Bottom