The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Naombeni msaada juu ya Tatizo la kukosa usingizi, kwa baadhi ya siku, Yaani kuna siku huwa nahesabu mabati mpaka asubuhi, usingizi hauji kabisa, nawezaje ondokana na hili tatizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LOG OUT JF THEN NENDA HOSPITALI MKUUNaombeni msaada juu ya Tatizo la kukosa usingizi, kwa baadhi ya siku, Yaani kuna siku huwa nahesabu mabati mpaka asubuhi, usingizi hauji kabisa, nawezaje ondokana na hili tatizo.
asante sana mkuuPunguza matumizi ya simu usiku,punguza mwanga wa display
Badilisha taa yenye mwanga hafifu
Punguza mawazo
Unayemuwwza nayeye anaye wa kwake anayemuwaza
Usipe stress